@nyaka_afya: Unajua kwamba homa ya manjano (Jaundice) inaweza kuathiri ubongo wa mtoto wako milele kama isipopatiliwa tiba kwa wakati? 🧠❌. Tazama video hii hadi mwisho ufahamu dalili za hatari na hatua za haraka unazopaswa kuchukua kuokoa maisha ya mwanao! 🏥👇. #AfyaYaMamaNaMtoto #CerebralPalsy #AfyaYaMtoto #255767291292 #foryou