@hildanewtonchadema: Miezi mitano iliyopita Dudubaya alituambia Wanachadema tuwe makini na Ishengoma ni kibaraka wa Abdul. Sasa baada ya Abdul kuona kwamba ushahidi waliotoa Mahakamani kwenye kesi ya Uhaini dhidi ya Mhe. Lissu hautoshi kumtia hatiani Mhe. Lissu ndo kampa kazi huyu Ishengoma ili aje kusema Mhe. Lissu ndo aliwatuma kufanya uhaini. Abdul ni zero brain ndo maana hata watu ambao anawatumia kwenye mambo yake ya kiwaki na wao hawana akili kama yeye.🚮🚮🚮🚮

Hilda Newton Chadema
Hilda Newton Chadema
Open In TikTok:
Region: CH
Saturday 05 September 2026 10:55:58 GMT
29772
951
46
43

Music

Download

Comments

jumahamis099
jumahamis099 :
huyu ndie kijana wa taifa jamani DUDUBAYA MAMBA
2026-09-05 13:31:48
2
ibrahim.simon73
Ibrahim Simon :
kweli siunaona bwana imetokea wakati mwingine sio kupuuzia mambo
2026-09-05 16:22:03
8
geofrey8996
geofrey :
kweli ulisema ndo nakuelews
2026-09-05 12:49:49
5
rajab.kibwana2
Rajab kibwana :
sasaivi naanza kumuelewa mamba
2026-09-05 14:11:44
4
nurudinijuma453
Nurudini Juma :
huyu jamaa alisema kabisa leo tunajionea
2026-09-05 13:40:22
5
muddybakari795
R4 :
Aliongea lakini hatukumuamin kweli huyu Ishengoma anatumwa na Abduli
2026-09-05 13:27:10
4
user2276735462825
Godlove in Wheels :
Mamba24 yupo mbele ya muda
2026-09-05 12:57:21
5
leonardhudson
Leonard Hudson :
kwa hiyo hata maagizo ya katambi ni inshu hii
2026-09-05 12:28:32
3
mozesikomba
Mozesi Komba :
😆😆😆😆 dudu baya hapa nimekuelewa vizurisana.
2026-09-05 17:03:10
0
mohamedmussa925
Mohamed Mussa :
mamba 🇹🇿
2026-09-05 17:37:05
0
bisco_supernatural
bisco_supernatural :
Huyu jamaa namuona mbali sana kimaisha, ikitokea tumepata serikali inayothamini wasema ukweli.
2026-09-05 16:44:57
0
user7598279981259
Black Mamba :
nikweli kabisa
2026-09-05 17:26:28
0
gwakisamwakambulw
Gwaki de bio :
Sio kila vita upigane hadharani......vita zingine pigana kimya kimya
2026-09-05 12:30:25
1
kudaadeki
Kilimanjaro :
Mimi ni mamba 24😂😂😂😂
2026-09-05 17:02:21
0
mjuni03
mjuni03 :
Kumbe ndiyo huyo anayesemwa.
2026-09-05 14:02:10
0
user37966917661340
user37966917661340 :
hiyo tumeijua mapema sana aise
2026-09-05 16:29:55
0
kodi.tegeta.azani
kodi tegeta azania :
kweli kabisa bloo
2026-09-05 12:41:21
0
waryoba.weburo.mus
waryoba musizaki :
kumbe shida imeazia hapa
2026-09-05 14:26:55
0
jupter3348
jupter :
alishasema mda nrefu
2026-09-05 11:55:40
8
pietech2023
PiEtech2023 :
ila ni kwel bwana
2026-09-05 12:19:46
9
mjuni03
mjuni03 :
Loh !
2026-09-05 14:01:34
0
edi53386
Edi :
ila watakumiza
2026-09-05 13:31:42
0
jumoung828
jumoung :
kwer tumona
2026-09-05 18:12:00
0
user28360760013448
msukuma mnywamaziwa :
[Sticker] ohooi
2026-09-05 17:44:09
0
meshabui
meshabui :
asante sana
2026-09-05 13:04:58
0
To see more videos from user @hildanewtonchadema, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About