Mimi niliulizwa “ wewe ndiyo mtoto wangu wa mama mgani?”😂😂😂
2026-09-07 13:16:43
623
Lynn :
wangu ashai sema wrong number 😭😭
2026-09-05 19:32:30
1112
@ Faith's fleece jumpers :
Mzae aliulizwa jina ya mwanafunzi akasema Baby
2026-09-06 19:32:45
718
🌸 Ashley ✨ :
wangu ashaitwa meeting akaulizwa jina na class ata hajui anajua t naitwa Ashley ikabidii Ashley wote shule tuitwe ndio ajue ni nani.After meeting class teacher akaniuliza kama tunaishi nyumba Moja na mzae😂😂😂
2026-09-07 06:45:40
399
essie :
huku kwwn mlikua na wazazi toxic aje 😅😅
2026-09-06 06:40:36
284
Dasha el🇰🇪🇰🇪 :
im i the only one that has a present dad
2026-09-07 10:24:49
225
KariukiLoise💫😘 :
Wangu alinipeleka shule yenye si hiyo ata uniform hazifanani amenibeba apa kwa shingo na akasema leo unasomea huku shule ni shule.i cried woi😩mind you nilikuwa class 5😂
2026-09-07 10:56:00
194
Nurse Jojo🇰🇪 :
Alikuja na maji na gazeti😂😂
2026-09-06 05:59:42
171
African.pie :
wangu hata hajui nilizaliwa lini nikimuuliza anasema nilizaliwa time Hana doh😂😂😂😂
2026-09-08 16:12:13
18
🌹wambui melanin♥️🌹 :
wangu alikuja aka andika jina alafu akarudi🥲😂😂
2026-09-07 10:02:07
73
Miss Mutunga :
Us with present dad's we can't relate
Poleni guys
Come we share my papa is the best ❤️
2026-09-07 15:51:40
18
Shirley :
wangu alikuja akanunulia walimu staffroom nzima soda mi akaniacha ivo🥲🥲
2026-09-07 12:41:44
120
To see more videos from user @imcollinske01, please go to the Tikwm
homepage.