@__dady770: #creatorsearchinsights #howtogotiktokviral #tiktok #foryou #foryoupage

ᴍɪᴋɪᴅᴀᴅɪ
ᴍɪᴋɪᴅᴀᴅɪ
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 05 September 2026 11:15:09 GMT
36353
2194
156
102

Music

Download

Comments

niphar81
𝑁𝐸𝐸𝐿𝑃𝐻𝐴...🦋 :
Ndomaana hatujui kuongea kiswahili vizur kumbe ss ni wa Ethiopia 😂😂😂😂😂😂
2026-09-05 14:01:33
56
d.twinie
D Twinie✨🌻💛 :
Kumbe tulipandaga ndege😂😂😂❤️
2026-09-06 05:58:08
18
happy.musa18
Happy musa :
kumbe me sio mtz ni muethipiaaaaa😁😁😁 bay tz
2026-09-10 16:25:51
2
fatumaomary4260
Fatuma Omary :
wanyaturu oyeeeee🥰🥰🥰
2026-09-05 15:57:33
26
sakinaabbakary
Sakina gwau :
Duh basi mnirudishe kwa ndugu zangu ethiopia buana🤣🤣
2026-09-06 18:30:14
11
saraphina.christi6
phina 💝 :
ko Ethiopia kuna watu wanao ongea kinyaturu
2026-09-07 20:35:22
3
tausi388
𝑇𝐸𝐸...🦋 :
Ethiopian
2026-09-05 13:02:24
8
hanif22374
hanif :
♥️♥️♥️hap saw
2026-09-06 18:19:04
0
mayrah513
mayrah :
nyaturu sema khaiiiiiiii 😽
2026-09-05 11:17:24
7
user495596620722
MUHABESH ♥️ :
ndoman Jana niliota nipo Ethiopia 🤣🤣🤣
2026-09-07 09:11:35
3
dearpress
jo :
ngoja nifanye mpango nirudi kwetu ethiophia
2026-09-07 08:04:08
0
tamsaismaily
tamsa :
kumbe ndo maan kiswahil kinanishinda 😃😃😃😃😃😃😃
2026-09-06 07:01:51
2
aisha.issa803
Aisha Issa :
ndo maab si wazuri daaaaah😂🥰
2026-09-07 04:30:05
0
veronicaisango637
vivy 🥰🥰 :
Haaaa kumbe jamani 🥰🥰
2026-09-06 14:18:39
0
naah18165
naah :
najivunia kabila langu 2ru one🥰
2026-09-05 22:17:11
5
nature.is.life66
Nature is life :
Yupo sahihi mzee wanafanana na Amharic na Tigril wa Uhabeshi. sahihi kabisa. mana ukiangalia sura na kuanzia rangi na maskio ya Amharic wa Ethiopia ni dhahiri kuwa ni ndugu
2026-09-08 00:01:34
1
cutep1.7
prisca J Lissu💞💞💖 :
Hatujatawaliwa na wakoloni siye heheee😂😂😂
2026-09-07 21:39:22
0
gholojmicah
Isaya 54 : 13 :
kwaiyo tulikuja wa kwanza tz au mbona tupo katikati ya nchi tuliwahi viti kumbe
2026-09-09 21:54:33
3
samyrah..440fficial
@bubbly_snowflake🇿🇦🇹🇿 :
mmmh
2026-09-06 08:24:26
2
faridashoshi
Farida Shoshi :
yaani ma babu mlikatizajee singidaa jamanii ,me nirudisheni ethiopia
2026-09-06 19:39:00
0
angel.makia
Angel Makia :
watu wa turu oyeeeee[Heart eyes][Heart eyes][Heart eyes]
2026-09-07 07:50:00
1
asiajuma982
Asia Juma :
basiii nd pic kaliiiiii😊
2026-09-06 21:09:20
0
angel.yohana95
Angel Yohana :
ndo maana sijui kuongea Kiswahili vizuri wolai 😂🤣🤣😂
2026-09-07 07:08:11
0
ruqeen5
Ruthnes🌹💞 :
jmn naomben mnirudishe ethiopia sa mababu zetu walitak nn singida an nachoka mm
2026-09-06 19:15:37
0
hassana.juma
Hassana Juma :
Ethiopia
2026-09-06 07:05:15
1
To see more videos from user @__dady770, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About