@islamicswahilinet: MAMBO MAWILI HAYA YANAKATA LADHA YA MAISHA YA ULIMWENGU Assalaamu Alaikum Warahmatullaahi Wabarakaatuh Mtume Muhammad ﷺ amesema: “Mwenye kumjengea Allah msikiti, Allah atamjengea nyumba mfano wake Peponi.” (Bukhari na Muslim). Hii ni fursa adhimu ya kushiriki katika kujenga na kukamilisha Nyumba ya Allah iliyopo Utengule, Wilaya ya Kilolo, Mkoa wa Iringa. Kila tofali, mfuko wa saruji, mchanga, kokoto au shilingi utakayotoa kwa ajili ya ujenzi huu ni sehemu ya Sadaka Jariyah, ambayo thawabu zake zinaweza kuendelea kunufaisha waumini hata baada ya maisha yetu duniani. 🤲🏽 Usidharau kidogo unachoweza kutoa. Huenda kile kidogo unachokitoa kwa ikhlasi kikawa sababu ya kupata malipo makubwa kutoka kwa Allah سبحانه وتعالى. Tushiriki katika ujenzi wa Nyumba hii ya Allah kwa kadiri ya uwezo wetu, ili iwe sehemu ya kuswali, kumdhukuru Allah na kuwafundisha vizazi vijavyo. Kwa anayependa kushiriki, unaweza kutuma mchango wako kupitia M-PESA: 0769 756 490, YAS | MIX: 0715 868 990, HALOPESA: 0619 115 190. Jina: MUDATHIR ISSA YOYOTA. #islamicswahilinet

Islamic Swahili NET
Islamic Swahili NET
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 05 September 2026 11:15:16 GMT
4227
741
25
31

Music

Download

Comments

farhiyaabbas
Farhiya dimples 😍 💕 ✨️ :
subhannahllah,Allah atujaalie mwisho mwema
2026-09-05 20:36:27
4
lifesgoeson._
life78 :
subhanallah Ya Allah type mwisho mwema Ameen
2026-09-05 12:15:14
4
laty.233
cute beby23 :
Allah atujalie mwisho mwema
2026-09-05 20:45:34
1
fati.mwanza
fati mwanza :
ALLAH akbaru
2026-09-05 12:16:09
2
hawamuchelule
hawa muchelule :
Allaho Akbar
2026-09-05 12:05:12
2
user37146673547152
jht001 :
NIPE MWISHO MWEMA YAA ALLAH
2026-09-05 13:01:15
2
minimeh1
MiniMeh :
Allah akbar
2026-09-05 16:26:13
1
user3458000982924
Yusra🎀 :
Allahu Akbar
2026-09-05 17:27:07
1
salmaaly999
Beby Sely💓 :
amiina ishallh
2026-09-05 13:09:03
1
muhammedmaganga
Muhammed Maganga 🇹🇿 :
Allah Akbar 🥹
2026-09-05 13:10:33
3
user280478115081
subira yamungu :
wallah huyu sheikh mawaidha yake yanachoma wallah
2026-09-05 15:56:01
1
herryt94
flora@ :
🥰🥰🥰
2026-09-05 15:27:50
0
mussa.iliyassa
Mussa iliyassa :
🥰🥰🥰
2026-09-05 13:26:50
0
masel506
MAKANYAGA OG :
🥰🥰🥰
2026-09-05 12:01:00
2
amnatysaid
user6934196822286 :
🤲🤲🤲
2026-09-05 12:16:13
2
lifesgoeson._
life78 :
😥😥😥
2026-09-05 12:14:56
2
zahrakatiko
ZAHRA KATIKO :
SubhanaAllah SubhanaAllah SubhanaAllah Allahumma inni asalukal hussnal khatima
2026-09-05 12:37:57
2
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About