@the.farooq.fashio: #creatorsearchinsights USALAFI SIO KIKUNDI AU KIGENGE

THE FAROOQ NEWS 🇹🇿🇰🇪
THE FAROOQ NEWS 🇹🇿🇰🇪
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 05 September 2026 11:27:43 GMT
5689
338
27
17

Music

Download

Comments

kassimali2362
kaseem :
usalafi ni nini na inatokea wapi
2026-09-05 16:45:45
1
user22265617095382
haliym :
allah pia hajasema tufuate usalafi
2026-09-05 14:24:54
1
user8748812049050
user8748812049050mha :
Salafi ni kikundi kilichozuka juzi tu na mungu ni shahidi
2026-09-05 17:49:02
0
hemedynurdin
hemedynurdin :
mtume kakuambia tuwafate zile Karne 3 bora hai ndo salafi
2026-09-05 16:57:24
1
maulana.hassani
Maulana hassani :
mtume s.a.w. alisema umma wangu atagawanyika makundi 73 yote yataingia motoni isipokuwa kundi moja
2026-09-06 09:11:43
0
khadija.joseph6
Khadija Joseph :
👌 Humo humo
2026-09-06 08:05:06
0
khawan80
Ally j52 :
sasa salafi si imeanzishwa jana tu baada ya Osama bin laden kufa
2026-09-05 20:28:18
0
.azzahrany._
ابراهيم الزهراني :
2026-09-06 05:48:04
1
user8748812049050
user8748812049050mha :
Munatukana watu sana
2026-09-05 17:49:37
0
abuuumeir
Abuuumeir :
kweli shehe unaongea
2026-09-05 13:44:39
1
zubeir.shomar
Zubeir Shomar :
kila siku ninavo yaona makundi mapya nakumbuka maneno ya mtume alosema tutakuwa makundi 72 na moja tuu ndilo litakalo ingia pepon.😔
2026-09-05 16:58:06
0
binkassim_
binkassim :
Kwa Sasa ni kikundi Kwa sababu ninyi wa Leo ndio wale wa kujifagharisha iyo Aya inayosema tufate usalafi iko wapi?
2026-09-06 07:46:52
0
supernice53
supernice :
kikundii usituzuge
2026-09-05 19:32:08
0
hassan.rangambo
Hassan Rang'ambo :
umesahau sheikh mtume as alimrishwa awe muislam na afate qurian 27:91/92 Hiyo ndio inaendana na Hiyo aya ulio itoa sio vitabu vya hadith vimeleta makundi
2026-09-07 10:26:38
0
To see more videos from user @the.farooq.fashio, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About