@theservantmedia: 🙏⛪ BARAKA YA KWANZA YA ASKOFU MSAIDIZI MPYA WA JIMBO KUU KATOLIKI DAR ES SALAAM! ✝️ Mhashamu Vincent Lawrence Mpwaji, Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam, akitoa Baraka yake ya kwanza baada ya Adhimisho la Misa Takatifu ya Kuwekwa Wakfu wa Uaskofu. 🙏❤️ ✨ Ni wakati wa neema na furaha kubwa kwa Kanisa, ukiashiria mwanzo wa huduma mpya ya kichungaji na utume wa Uaskofu. 🙏 Mungu ambariki Mhashamu Vincent Lawrence Mpwaji katika huduma yake mpya, ampe hekima, nguvu na moyo wa kuwatumikia watu wa Mungu. Follow us on all social Media Platform for religious contents. @theservantmedia #fyp #kanisakatolikitanzania #kanisakatoliki #popeleoxiv #church #MhashamuVincentMpwaji #AskofuMsaidizi