😆Nakumbuka mwaka 2006 niliitwa na bibi yangu kigoma vijijini aliniambia mambo mengi sana ila maneno ninayoyakumbuka hadi leo aliniambia "mjukuu wangu ipo siku moja watu wengi watapoteza mda wao kusoma comment yako"
2026-09-05 14:53:24
1
SALAMI MKENGA :
Duuuh hyo si pka hyo
2026-09-05 12:46:29
0
Ehudi Monga :
njoo KIGOMA😂
2026-09-05 14:22:51
0
khairaty_dudu :
nakupataje
2026-09-05 14:17:06
0
shariffu salumu :
mmhuu pole doctor hiyo hali sio poa
2026-09-05 14:14:05
0
Mariam Mchome :
kazinyingine ngumu mwee
2026-09-05 13:34:48
0
Juma Kabuje :
watu wote wanao ish maisha haya ni maskin wa kuchovyaa kangen kabisaaa
2026-09-05 13:56:09
2
nij :
ukute anoyafanya ayo yupo kwenye familiar tena yy ndo mshauri mkubwa 🤣🤣🤣
2026-09-05 13:37:55
0
mnyampala manyakuulawo :
Mazingaombwe ktk ubora wake
2026-09-05 14:51:29
0
user236876124630 :
duuuh yaani simba anakula sungura
2026-09-05 14:42:56
0
mussa ikaka :
ebu mpeni hela atoke apo
2026-09-05 14:30:42
0
𝒌𝒏𝒐𝒘𝒍𝒆𝒅𝒈𝒆 tz :
kwaiyo imekosa kuku jamani huyo mwenye nyumba kaleta zalau
2026-09-05 15:38:43
0
mauri :
🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
2026-09-05 13:51:17
0
Matua Og :
😁😁😁
2026-09-05 14:49:44
0
To see more videos from user @mgayakassim, please go to the Tikwm
homepage.