@fidomgaigai: WAKATI WENGINE WANALALAMIKA WENGINE WANACHANGAMKIA FURSA Huyu jamaa jana alivamia kipindi kisicho muhusu bila taarifa, lakini kwa kuwa anaimba singeli basi niseme kinamuhusu. ILIKUWAJE? Jana nilikuwa na wageni wanne tu lakini mwisho wasiku nikawa na wasanii 6 nikajiuliza imekuwaje kumbe huyu jombaa kavamia show toka kwenye kipindi cha KARIOKE mpaka GENGE, Kwenye set alitakiwa aimbe TOM LEE na hapo mwanzo nikajua bwana Tom si ndio huyu wakati namtambulisha nikasikia jina geni ambalo halipo kwenye menu ila nikasema sio kesi ila alipoanza kuimba nikasahau kabisa kumbe ni STEAL AWAY(STOLO WAY) . #hiiitaletashida

fidomgaigai
fidomgaigai
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 05 September 2026 12:20:08 GMT
18591
1669
45
216

Music

Download

Comments

nagra.jafaly
nelrnorah😍🥰 :
hahahahaha ila mapenzi
2026-09-05 17:44:27
1
dullynicemusic
dully nice :
Umetisha sana kk fido🙏🙏
2026-09-05 14:16:48
5
pshayo5
TRAVE🚴‍♂️LAH💫~ :
Bongo nyimbo za brokenheart ndo hit song
2026-09-05 13:40:26
1
shedrack.milanzi
kisinda tk :
uyu jamaa anajua sana
2026-09-05 17:26:13
2
chui_africa
𝗖𝗛𝗨𝗜 𝗔𝗙𝗥𝗜𝗖𝗔 🐯 :
mziki asili yake wapi mziki ni tungo mziki ni fundisho mziki maombolezo kilio🔥🔥🔥
2026-09-05 21:43:36
4
cute.samy92
cute samy :
huyo dully nice akikaza namuona mbali sana 🔥🔥
2026-09-05 18:22:39
3
heisdeevocal_
Its Dee Vocal_ :
🔥😂👑 TULIIBA NA TUKAUA ILA TUSAMEHE SANA KAKA 😂😂🙏🏻🙏🏻❤️
2026-09-05 13:47:40
2
mfana.to
Mfana🏀 :
mjini kafika tyar babu
2026-09-05 13:22:02
2
black.talent.numb
BLACK TALENT NUMBER2 :
dah kunawasanii wanajuaa jaman sjui shida nn 🥺🥺🥺
2026-09-05 13:17:17
1
kevooh410
Kevooh410 :
"You better watch your back"
2026-09-27 22:11:24
0
subbe036
👉jax👈 simon🥸 :
nomaaa💯💯💯💥
2026-09-05 13:36:38
1
edo.jr.boy
Edo Jr Inyasi :
watch your back
2026-09-27 17:25:57
0
cowwizzy45
Nurdin Leonard :
achaaa basiiii
2026-09-06 06:16:41
1
kmelectronics29
kmelectronics29 :
hii italeta shida hii
2026-09-22 06:56:28
0
laitonimwilongo
leymwilongo :
anajua sana
2026-09-26 21:37:13
0
user3198345043hjj507
SHUKUXY TZ✔️🇹🇿✅️✅️ :
kk naomba nafasi na mm kk nikauwe nakuomba sana
2026-09-05 15:36:18
0
hanceog426
Hance Og :
dj
2026-09-26 11:19:35
0
milanzi.tz
Milanzi Tz :
kaka we unajua kk
2026-09-19 20:03:40
0
christopherpaul291
OFFICIAL CHRISS@@PAULtz :
Kauwa 🔥🔥
2026-09-06 08:05:07
0
assudacruz
Assu da Cruz36 :
vipaji vipo kwli
2026-09-12 14:55:30
0
user7635682751439
it's J.m.s :
mziki unaongea [Pray][Pray]
2026-09-30 17:02:52
0
mjamaica.47
MJAMAICA 🇯🇲 :
wanangu wanyieeeeh
2026-09-07 15:52:18
0
uchidah2
Uchidah 4️⃣5️⃣ news :
huyo mkali tena mkal kabs fido
2026-09-30 19:16:37
0
yahayabwakila
MR YSB :
HII ITALETA SHIDAAAAAAA🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-15 04:14:43
0
timtwo19
Time Two :
Atareta shida uyu.
2026-09-05 14:26:59
0
To see more videos from user @fidomgaigai, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About