@nyayotv: Daaah! Sasa kuoga ndo kitu Cha kulazimishana jamani!?😂🙌 Sema nahisi kuna kitu fulani tunakosea kwenye malezi yetu, mtoto kama huyu anakuwa na idea za kujinyonga mapema tu,wat if akikuwa itakuaje!?🤔 Wazazi kuweni makini na watoto wenu!!! Wakati upo mtoto ulikuwa unafanya Nini pale unapolazimishwa ukaoge!?🤔 Follow us 🙏 #fyp #creatorsearchinsight #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokkenya #fypシ゚viral

NYAYO TV
NYAYO TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 05 September 2026 12:31:11 GMT
82758
1719
133
926

Music

Download

Comments

deqiutannie
@de-qiut-annie :
Msicheke jamni hili ni rohoo la mautii limo ndani muwe mnasali jamni jamnii
2026-09-05 16:49:17
78
raynerdaniel06
rahma ally☪️☪️ :
atakuwa last born 😂😂😂
2026-09-05 15:19:41
22
marymwanguku
zalha 💓💓 :
😁😂😂😂🤣😂😂🙌 ila wahehe mnapenda kujiamulia mambo
2026-09-05 17:53:49
9
nunuuogvwi7
nunuuogvwi7 :
jmn mtot wa kiume usimlzmshe kuoga😂
2026-09-05 18:52:58
8
ennock.boy
Roziana :
mmmmmh
2026-09-05 18:48:57
0
felister.mushy
Felister Mushy :
kuna comment naitafuta😂
2026-09-05 19:02:02
1
hawa.mussa.mkasa
Hawa Achinku :
iyo lini iyo
2026-09-05 19:14:14
0
maombi.zacharia
Anna🦋💓💯 :
msipende lazimisha watu tuongee😂😂
2026-09-05 19:47:45
1
user781201708729
🦋Fyine girl 🔥🦋🦋 :
dunia inaend kasi
2026-09-05 18:54:26
2
americanboy478
American boy 🕊️🇺🇸 :
kwa shule ningesema lakini kuoga
2026-09-05 22:08:50
0
emmy.girl754
emmy ? :
2026-09-05 19:04:14
1
maria.david4863
Maria David :
Namkimchekea atakuja afanye kwel mungu amusimamie 🙏🏼🙏🏼
2026-09-05 22:06:17
0
cutyledy8
cutyledy :
mimi ni msichana lkini nilimwambia mama ukiendelea kunilazimisha kukoga nitahama kwa hii nyumba yako[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-05 19:16:59
1
ellyaineastephano
Elly :
kwani lazima kuoga
2026-09-05 21:20:09
0
angelangelangel584
Angel :
nashindwa kuelewa 🤣🤣🤣🤣
2026-09-05 22:03:35
0
isack.jr.official
isack Jr official :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hiii nchi hii kabla sijaf nitakuwa nieona maajab mengi daaah
2026-09-05 21:24:09
0
lydiacosmas8
Lydiat :
jamani hii issue siyo ya kuchekea, ni sensitive sana, ntimumusekele jamani umwana achali mtoli alinze ashika kwiyo hatua either yabhonye au yategeje abhantu bhagamba kuhusu ukwinyonga na mgozi, muwe nae karibu msikilizeni
2026-09-05 21:27:15
0
venanc630
venanc :
nin shifa Tena jaman
2026-09-05 19:49:54
0
judithezrom
Bint ezrom :
ata hayachekeshi
2026-09-05 19:59:26
0
ethani14
Ethan :
mateso yamezid
2026-09-05 21:13:50
0
banutanunu
banutanunu :
jmn wtt wamevurugwa msiwalazimishe majambo
2026-09-05 20:05:10
1
bintchupi
bint :
chekeni tu
2026-09-05 20:07:08
0
mablo72
@mablo_t_one :
Kwani nani kawambia kuoga kazima
2026-09-05 21:08:28
0
caroline7548
Caroline💫🧚‍♀️ :
astaqaffirullah
2026-09-05 14:09:30
0
To see more videos from user @nyayotv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About