@focustvtz: Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, akieleza kwa mifano namna ambavyo Rushwa inaweza kucheleweshwa na kukwamisha Maendeleo katika jamii na Taifa kwa ujumla. RC Kheri James ametoa wito huo Septemba 05, 2026 alipokuwa mgeni rasmi kwenye hafla ya ufunguzi wa mdaharo wa klabu za wanafunzi wapinga rushwa kwa shule za msingi na sekondari kutoka mikoa ya Dodoma na Iringa. #FocusTVTanzania