@one_vision_tv: Siku ya jana msanii @iamfounder_tz alipata nafasi ya kuonesha uwezo wake kwenye beat tofauti ikiwemo za singeli lakini kwa suprise kubwa aliweza kupita kwenye moja ya beat ikiwa ni la amapiano na wengi wakadai kwamba kijana kwasasa amepoteza sauti yake ya awali lakini za ndani ni kwamba kijana ana kuwa na hawezi kuwa yule yule kila siku na kwa mabadiliko ya mwili lazima tu na sauti itabadilika,lakini pia wengi wamesema kwamba kijana huyu akija akatoa hii ngoma au goma lolote kama hili hapa basi tuta muona asake hapa bongo. Tuambie wewe una muonaje founder kwasasa. Toa maoni yako #onevisiontv🇹🇿
engekuwa Nigeria 🇳🇬 kasha jwenda international lkn kwa bongo anaonekana wa kawaida lkn dogo yupo fire
2026-09-05 18:33:55
52
DMX ♧☆ :
ASAKEEEEEEEEE. sema dogo kaimba acheni wivuuu😂
2026-09-06 05:54:29
5
denisherngasala :
tunaomkubali asake tujuane maana umeniludisha kwenye njia na hili songe maana nilikuwa alone but now I'm happy
2026-09-06 10:34:13
9
Quizdayo.BBQ :
kama hujawah fuatilia lyrics
ya gratitude _asake
unaweza sema he is correct......
#but still umekuwa👊💪
2026-09-05 20:29:15
21
Landon_ice :
🔥🔥 Mziki ndo huu
2026-09-05 23:48:12
22
@BRK💯 :
I no feel lie you weting my eyes dont see..yo p'gon
So many good wey man done but na bad them go talk ,
even Jesus christ the Lord them nail am for cross
Me no feel pliz every boy...Wapenzi wa ASAKE tujuane
2026-09-06 11:42:55
2
HAMZA THE DON :
rema
2026-09-05 14:18:53
21
grimmer :
i no fit lie my eyes don seen opako (my eyes have seen a lot)
so many good man don do but na bad them go talk
even jesus christ the loard dem nail am for cross
2026-09-06 09:17:46
2
tajili tollah :
gratitude asake mr money with vibe
2026-09-06 08:50:00
0
Mo🇿🇦nt@n@🇿🇦🇿🇦 :
Kama mnaija vile
2026-09-05 15:24:54
37
ICON OUTFIT STORE :
ameua sana
2026-09-05 13:52:18
13
ta mpa011 :
umeua dogo na umekuaa
2026-09-05 20:29:34
9
Mashauri Moyo :
unajuwa Xnaa mdgo wngu keep it up 🙏
2026-09-05 14:08:58
11
Am Gee🦋🧸💫 :
Mtoto anajuwa huyu bhana
2026-09-05 19:40:29
7
@mathew innocent 43 :
dogo anahatali
2026-09-05 16:03:16
6
lusungumtewa :
afrobit kabibisa👍
2026-09-05 17:06:34
5
sajo mc :
mzuriiyo
2026-09-05 15:19:09
5
D☘️6ixsavage☘️❤️🔥 :
sio jamaa ye2 uy
2026-09-06 08:59:16
0
willbart ☑️ :
wakenya wasione hii watasema wakwao
2026-09-06 09:12:50
1
Sephusimba🦁 :
shule inasaidia
2026-09-06 08:07:42
1
To see more videos from user @one_vision_tv, please go to the Tikwm
homepage.