@tidiwa2: Tai lung 🥶 #marvel #avengersdoomsday #fyp #tailung #kungfupanda

tidiwa2
tidiwa2
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 05 September 2026 12:55:49 GMT
23755
3358
359
84

Music

Download

Comments

islahy101
islahy :
so tai lung na general kai,,Nani dume?
2026-09-06 03:31:01
0
ibraah_jr8
IBRAAH_JR 🌀 :
we oogway alimtuliza tailung na punch 3 tu weee
2026-09-05 19:30:09
1
luppata_kidd
lupatta_kidd :
😂😂 aaah mjomba unamu underate master 😅😅😅
2026-09-05 14:57:28
3
greazzy_1
gracious :
imagine broh 20 years af shughuli ndo ile yaan 😂😂😂
2026-09-05 19:13:58
0
drjm13
Dr jos🩺 :
🤣🤣🤣oogway akachimba ..... aaaah shivoooo its ur time
2026-09-05 20:42:27
1
zeelaefootball
ZeeLaEfootball :
😂kwa oogway kila mtu ni mchumba
2026-09-06 08:18:23
5
cuteha55
leemckrazyy👨‍🎤👨‍🎤 :
daaah broo hichi kipande nimechek sana 😅😅🤣🤣
2026-09-05 15:12:21
13
iam_abubakary
Abubakary :
he was like (say wallah bro)
2026-09-05 15:20:33
3
aadilzuli
Hemedi ndugulu :
katika villian wote wa kong fu panda huyu ndio dume wao sjui kwann walimueka mwanzo
2026-09-05 15:31:58
15
bluescluw
willy Cruz 😎😎 :
picha ya mwaka🫡🫡
2026-09-05 20:24:40
15
saint.jorvin
jorvin :
bat. man jau
2026-09-05 14:50:52
5
freeguy_67
MR,FREE GUY :
bro una calculate hadi script ✋😔🤚.
2026-09-05 15:23:24
2
neuroblastinnovation
neuroblast innovation :
katika villain ninamkubali ni huyu TAI LUNG Mzee wa Leopard Style): ila panda 🐼 anavituko sana 🤣🤣🤣😅
2026-09-05 13:45:23
9
juniorwilliam3001
Junior William :
kwahiyo bro alivyomaataa marsho art akamua kuwa kuwa vilani mpaka kwa mwalimu wake daahh lakini umetisha
2026-09-06 05:15:06
1
salimzuberi7
sallyz0001 :
ugwe jau😁
2026-09-05 20:25:11
1
araphatmohil
MrBIG🦋 :
Po anawakilisha nn
2026-09-05 14:33:23
2
ochuvon
ochuvon B :
vp kuhusu kai🔥🔥
2026-09-05 14:32:57
4
1.blaze
BLAZEchannel :
kwa sisi watu wa mpira tunasema Ugu Master 🐢 kajivunja 😂😂
2026-09-05 13:51:13
5
azzrypro
𝐀 𝐳 𝐳 𝐫 𝐲 🛒 :
Bruh tangu uanze hii project yako ya kufanya review za movies zengine ukiachana na za morvel una tisha sana fam unakuwa una tupa Different tests 🔥👌🏽💯
2026-09-05 17:15:33
0
youngdrack777
Young Drack :
ukumbuke ougwey ndio alimzima Tai lung na kafanya afungwe
2026-09-05 20:16:09
0
paultravis360
Afro_jigga🖤 :
oogway akachochora 😂😂
2026-09-05 18:12:18
0
the.great4667
papy 8 :
uyo xio poa kaka nomaaa
2026-09-05 20:55:33
0
kingsley_elvis
Elvis Presley 🥶🤑 :
kwanini umalizii story kaka malizia story bhn
2026-09-05 14:58:51
1
dee.light18
Dee light :
Msisahau BAT-MAN jau
2026-09-05 16:04:47
0
frowin33
∰ҒԻoഢ♙ӣ ♝b♙ӈմ₫♙☚✫ :
bat man jauuuu
2026-09-05 13:41:09
3
To see more videos from user @tidiwa2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About