@wizara_sanaatz: Teknolojia ya Kisasa ya Kufyatulia zege "Precast" imekuwa tumaini jipya katika kuongeza kasi ya ujenzi ya Uwanja wa mpira wa miguu Dodoma. Hayo yamesemwa Septemba 04, 2026 na Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Bw. Gerson Msigwa wakati alipotembelea uwanja huo uliopo Kata ya Nzuguni, ili kujionea maendeleo ya mradi pamoja na vifaa vya "Precast" vilivyoletwa na mkandarasi hivi karibuni. Msigwa amesisitiza kuwa, matumizi ya teknolojia hiyo yanatarajiwa kuwa miongoni mwa hatua zitakazosaidia kuharakisha utekelezaji wa mradi huo na kuhakikisha ujenzi unaendelea kwa kasi iliyokusudiwa.

HABARI/UTAMADUNI/SANAA/MICHEZO
HABARI/UTAMADUNI/SANAA/MICHEZO
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 05 September 2026 12:56:36 GMT
16600
331
5
0

Music

Download

Comments

user2942853949252
Mr hardway :
kazi nzuri uwanja mzuri wasiotaka running truck wajenge vyao
2026-09-16 16:40:22
0
flora2683
flora 🌿🪷🥀 :
mna uhakika huo uwanja utatumika na Afcon mwakani
2026-09-05 16:19:06
0
annannko510
nanyaro :
msigwa tufikishie ujumbe kwa serikali kuwa mnafanya kazi nzuri sana tunaomba msiweke izo running track
2026-09-05 20:31:42
0
d_changoma
𝐊𝐚𝐧𝐲𝐚𝐥𝐚🚫😍 :
kwa uwanja wa Dodoma sizan ila wa Arusha ni kwelee
2026-09-11 16:02:42
0
user2942853949252
Mr hardway :
co uwanja jukwaa nyuma litakuwa wazi kamauhuru me naona bora tungeufunika na paa pia
2026-09-16 16:43:25
0
To see more videos from user @wizara_sanaatz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About