mnanikosha sana aisie mpo vizur MUNGU awasimamie kwenye kazizeni nawapenda sana
2026-09-06 04:44:12
4
shomaly kadoma :
mbn amtaji jina la muv
2026-09-06 17:33:11
1
Tajiri mfupi J mapesa :
mimi nataka kujiunga nanyi hata kwa kuwaangalia tu
2026-09-06 04:54:33
1
lukas :
mko vzr sana
2026-09-06 19:50:42
0
LUDONYA MNYONGOZI :
mmeanza kuniingia akilini sasa
John robat ajipange🫡
2026-09-05 15:24:26
4
kanairo boy :
Kwani dodo yangu iliisha
2026-09-06 19:09:35
0
Edsone :
Mi sielew hii ni movie au content kam ni movie nipen jina bas
2026-09-05 13:47:24
3
Raulenti :
nimekubar Sana asse
2026-09-06 16:14:43
0
angekeza0 :
next
2026-09-06 04:50:33
1
yusuph Hussein 1920 :
move inaitwaje
2026-09-06 08:36:38
1
Eng. Surveyor Manuel :
Kuanza Upya sio Kukosea..!!👍
2026-09-06 12:56:25
1
#marron # maker* :
hili game linaitwaje
2026-09-06 11:10:24
0
King👑 Gadaffi🎖🇹🇿 :
oya mko spid sana punguzen jmn mana pumzi yenyewe ni kisoda🔥🔥🥰
2026-09-05 23:34:39
1
Thewolf👊 :
Apex nifanyieni tu mpango nipate hata namba ya huyu dada hata niwe nayo tu she is so beautiful
2026-09-05 14:41:25
1
MTANGA___ OG :
yani mimi sipendi movie za kibongo but kwenu nimeshindwa kuwapita
2026-09-05 17:49:54
2
Nyambi Og :
uyu dada anajua sana
2026-09-06 20:00:44
0
Ally Tom :
jina la hii plz
2026-09-06 04:09:03
1
@Grayson wambura :
Oyaaaa mko vizuri hilii ni bonge la movie
2026-09-05 18:36:51
3
choosen@HT :
KUNA MUDA mnafika an kila mtu inabd ajue tu Mimi Nina mahucano na furan hakuna umuhm wamawacrian hakuna mahaba hakuna story za mapenz an ilimrd tu mpopo hii nayo cjw nilevel gani ya mahucano 🙌🙌🙌🙌
2026-09-06 13:30:29
0
Joseph Buhogoke :
Mwanamke ametulia sana aisee, Cjui uhalisia wake yukoje🤔🤔
2026-09-06 18:13:15
0
Chris :
daaaah mumeupinga mwingi
2026-09-05 20:19:22
0
pius Ereneste :
[Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-09-05 18:57:30
1
To see more videos from user @apex_film_studio, please go to the Tikwm
homepage.