@kitaahakiozi: Walimu wa Kiafrika wana style yao ya kipekee ya kushughulika na wanafunzi Unakumbuka siku ukiwa shule, kosa dogo tu linageuka kuwa kesi kubwa? 😅 Ukiwa mwanafunzi, uliwahi kujifanya mjinga ili uepuke adhabu? 😂 👇 Taja tukio la shule ambalo huwezi kulisahau! #reelstrend #kitaahakiozi #MaishaYaShule #Wanafunzi #Kichekesho
tulio soma shule za msingi karibu nyumba za walimu tunajua hii Hali😄😄😄
2026-09-05 18:41:34
49
Wattemi431 :
hii nimeipend siach kukupa like 😁😂
2026-09-05 18:33:01
12
Abdulnoor :
salute brother😁😁
2026-09-06 07:07:58
1
unstoppable🤱 :
imeisha hiyoooo
2026-09-06 07:35:33
1
being_pricy :
haya ya kwel
2026-09-06 06:34:27
2
🎀ADIAT🎀 :
Shulen kwet hy mamaeeee
2026-09-06 04:42:34
1
Suzy :
🤣nimekumbuka tulikuwa tunaagizwa hadi maharage
2026-09-06 05:42:05
1
Leeluxe store :
😂😂😂😂😂Nachoka
2026-09-06 04:49:19
1
mama wa wote 123 :
hujakosea
2026-09-05 18:46:46
5
Aslam Msangi :
hahahahaa Yan nankwel kabsa daah yapohay
2026-09-05 16:39:45
5
Robby Tiles :
Yani umepita me mle,
2026-09-05 17:36:33
5
😘BernV🌺💫 :
😂 😆 😂 😆 afu kweliii
2026-09-05 19:33:18
3
am_audo🎤🇹🇿 :
😂😂😂😂😂 ila
2026-09-05 16:59:30
2
Sidatywendo :
jaman kumbe walimu ndo munavyofanyaga hvy ndo malengo yenu au sio
2026-09-06 05:00:40
1
iconic man :
good
2026-09-05 18:25:21
1
Daudi Kafulila :
unajua
2026-09-05 19:06:18
1
W@R0D wai*🌿🌿 :
hahaha🤣🤣🤣
2026-09-05 17:31:10
2
fubu95 :
Mmh sio kweli sio Walimu wa Tanzania 😂
2026-09-05 18:26:14
2
NTWARA ICON 🦍 :
kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la kusema maana hata mimi sielewi ndugu zangu..
2026-09-05 19:30:20
3
😻🐻momy Aiyman 🥳 :
San yapo
2026-09-05 16:47:49
2
SAMIRA :
Mmh
2026-09-05 16:07:11
1
tamimuyahaya6 :
du🥰🥰🥰🥰
2026-09-06 09:02:14
0
mhaimina :
unauwa sana
2026-09-06 09:14:51
0
amyrat :
mh
2026-09-05 17:14:13
0
To see more videos from user @kitaahakiozi, please go to the Tikwm
homepage.