is it right to that boy to cry on his mother's funeral?
2026-09-06 20:02:28
1
priscillahritah :
glory to Jesus💪💪💪
2026-09-07 04:37:06
0
dainess ezekieli :
Maombi yananguvu sana ndomana MUNGU amesema tuombe bila kukoma
2026-09-07 07:27:31
11
Fadhili Michael :
yes amazing miracle of God
2026-09-07 18:23:00
1
ASHA :
AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN KUBWAAAAAAA
2026-09-06 13:43:46
1
julianyana :
washindweeee
2026-09-07 04:54:49
0
nurulove7 :
Mungu wangu nitete haya maisha yanaogopesha sana
2026-09-06 16:01:00
9
king asajilegodwinikayuni@gmai :
Muchungaji wa mana kabisa kutokea tz proud of Africa
2026-09-07 13:27:07
3
neemadavid935 :
Kuna mchawi aliniapiza kwa roho yake akanitumia mauti ama zangu ama zake kama Mungu aishivyo ule uchawi nilipopona ukimrudia na akafa 🤣🤣Yesu nakupenda sana sana
2026-09-07 08:28:52
3
SON OF MAN :
ungefungua sehemu ya nidownload ungebarikiwa Sana
2026-09-06 17:07:33
1
merychaula :
mtumishi umenikumbusha mbali mafuta ya shati na napenda maombi baba angu MUNGU akubariki kwa kazi njema ya MUNGU
2026-09-06 13:05:45
9
Sara bugamba :
Mungu wambinguni nisaidie Ushuhuda huu umeniliza sana kwani hata mm nilifungwa uzazi nabibi yangu mzaa mama nampaka leo sijazaa kabisa nasina ndoa kweli kunawatoto hatunaraha yakuzaliwa nawazazi waliotuzaa. Ushuhuda huu umeniliza sana Mungu awasamehe tu.
2026-09-06 18:09:04
4
Lilian Kimaro🎀 :
Maombiiii acheni hii kitu kabisa
2026-09-06 08:41:17
8
Anonymous.. Mtumishi.. :
eti kuna mchungaji mmoja anasema tusiombe sana, tufanye kazi sana... daah! nikaamini shetani yupo kazini... sababu eti anasema Afrika masikini kwa sababu inaomba sana.... sasa angepungukiwa nini kama angesema pamoja na kuomba kwa bidii pia tufanye kazi kwa bidii? kwani maombi yanazuiaje mafanikio? Maombi ni Nguvu kwa muamini
2026-09-06 12:03:02
5
Seller :
Mungu akubariki sana baba mtumishi nabarikiwa sana na shuhuda zako
2026-09-06 14:30:02
6
Mc bonge mapilau :
Mimi naomba tuu nipate mtoto Yesu kanikumbukemimi julian
2026-09-07 01:17:04
0
user loveness e shao :
yesu kristo ni yeye yule jn hat milele akun wakufanan na yeyee haleluy😭😭
2026-09-07 00:42:18
1
marymlay :
usiseme mchungaji kunafamilia zinapitia shida
2026-09-06 11:09:51
6
Sara Mfugale :
Ee Mungu mkumbuke na kaka yangu Lai
2026-09-06 19:36:04
1
Jesus my saviour :
Amina
2026-09-06 08:24:20
3
neema :
kweli kabisa unakila ssbabu yskutumiwa namungu kwaviwango vya juu tokea miaka ya90 alafu hujazimia moyo shetani lazima akuogope sana
2026-09-07 07:22:57
2
Flora Peter :
Aminaa baba mchungaji ,kweli maombi na silaha
2026-09-07 08:44:16
1
Happy Moshi :
Mchugaji naomba na mimi Happy nipone mkono unauma sanaa baba mchugaji mama mchugaji ananijuwa mwambie Happy Elibaba nilikutana nae Muhimbili🙏🙏🙏
2026-09-06 16:30:51
3
Elizabeth Mahela :
mchungaji naomba namba yako Nina jambo la familia ya baba yangu
2026-09-06 13:40:33
1
To see more videos from user @elihango, please go to the Tikwm
homepage.