@upsten_ajiral_portal: Ofisi ya Rais – Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma imetangaza nafasi 678 za ajira katika sekta mbalimbali zikiwemo Ualimu, Afya, Misitu, Mifugo, pamoja na kada nyingine katika MDAs na LGAs.Tazama tangazo kamili, soma sifa na masharti ya kuomba, kisha chukua hatua mapema.Fuatilia Upsten Ajira Portal kwa taarifa za ajira zinazotoka moja kwa moja na kwa wakati.#Ajira678 #ualimu #UpstenAjiraPortal #afya #viral
UPSTEN AJIRA PORTAL
Region: TZ
Saturday 05 September 2026 13:28:13 GMT
Music
Download
Comments
_.ryner._🇹🇿 :
aya sisi CO mnatuchukuliaje wanetu?
2026-09-05 20:13:11
19
Abriellah :
Medicatie attendant wapo??
2026-09-06 18:39:57
1
Ryan's hj🍒🍇 :
Kwahy CO hatna soko au niende MD ushaur jmn
2026-09-06 14:13:39
2
@itsfeysway :
walimu wa business studies mtuone nasi😳
2026-09-06 04:44:41
2
ester_bosslady25 :
Business Administration tunaenda wap jmnn😓😂🙌
2026-09-05 16:22:42
3
Steve Kasawalah🥼 :
Lab nafasi 25,daaah acha niendelee kupambania hii 450k kwa mwezi🚶
2026-09-06 10:32:40
5
Just me🩵 :
pharm tech na bahati ni meyo hatunaga kabisa😅
2026-09-05 20:18:02
8
maiya :
na Zanzibar pia tuombe au h
2026-09-06 11:41:42
1
Dr. hans255 :
nafasi 678 wako siliaz kwel hawa
2026-09-05 19:45:30
2
Ms Sillely🌹✨ :
mshahara wa TGS C wanamaanisha nini?
2026-09-06 06:31:50
2
melveen.PM😻 :
mwezi Septembe? 😏au sio
2026-09-06 05:20:09
1
Pharm jamilah🔐♥️ :
Pharmacy amna
2026-09-05 17:19:23
5
djaa♥️ :
naomba kuuliza mwandishi, Hivi hizi za ualimu wa hisabati ( mathematic) ni primary, o level au a level???
2026-09-05 18:53:41
2
phinnah12 :
je za social worker zipo.jmni
2026-09-08 10:34:41
1
Faidha Shabani :
tunaenda wpi kazi za mifugo
2026-09-08 09:32:06
1
Aziz magic anta :
ualim grade A waendelezewe ni maoni yangu
2026-09-05 20:47:09
3
Faidha Shabani :
kwa kazi za mifugo
2026-09-08 09:32:05
1
ma nurse wameisha kwenye database
2026-09-05 20:07:24
2
🌹 hellen 🌹 :
Nasubiri ualimu history
2026-09-05 22:10:25
3
ashery 💉💊 :
ngoja tu niende gulf sitaki mchezo mm kusumbuana akili
2026-09-06 19:10:03
2
BARAKA MSOMBA :
sisi mawinga vip "procurement"😂
2026-09-06 07:18:02
2
𝕎𝕚𝕤𝕖𝕕𝕣 🩺🦁 :
Hatimae Md tumefikiwa😂tuombe sas
2026-09-05 20:01:44
3
Cutie pie🦋❣️ :
Ualimu Daraja la 3A tunaruhusiwa kuomba?
2026-09-06 08:44:24
2
evy_shayo :
Rehabilitation health pia ni afya😌viungo tiba saidizi kazi hazitoki kbs
2026-09-06 04:59:23
1
To see more videos from user @upsten_ajiral_portal, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.