@bushbaby940: #roadlife

Hamza
Hamza
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 05 September 2026 14:19:58 GMT
60713
2861
143
79

Music

Download

Comments

aisha.hussein560
Aisha 🇧🇮🇹🇿 ✨️✨️ :
Adui unae muweza usimuachie mungu😂😂😂😂😂
2026-09-06 06:54:18
36
jimmyjacobjames
Bunzaga 94 :
hawa wa scania wanadharau sana wanafikiri faw au howo hazitembei tunawatafuta kibampani fresh tu
2026-09-05 17:30:49
19
mohamed.faraji.jr
Mohamed Faraji Jr. :
ukipasuliwa mirror zungumzeni jamaa anaweza sema mm nalipa mirror yako ya faw na ww lipa mirror yangj ya xt tuone
2026-09-06 11:00:04
4
merinyojr
Merinyojr :
maelekezo mokoo chap
2026-09-06 03:46:47
3
abdallahtz076
abdallahTz :
wenzentu wa tank dharau sa na
2026-09-06 18:24:36
1
neemamasala
neemamasala :
Ubaya gari sio ya hyo dereva utadili na Mwenye chumaa mambo mengne nibora kutafta siluhu kuliko ma tatzo angepiga picha garii suluhisho angepata nb kwenye jambo lolote tuwe na subraaaaa
2026-09-06 12:22:12
3
sinotrucker001
sinotrucker :
mbaya ni mbaya tuu
2026-09-06 06:11:04
1
jaynyagawa
DADDY AVIEL D14 :
uyo kakoroga acha akorogewe na yeye
2026-09-06 05:23:33
3
xxl.founder
xxl founder :
ko unahisi mwenye kosa nani hapooo
2026-09-06 02:22:14
2
sagondojr820
Ramadhani Muya :
yeye mbona alikua ana tembea hakuna uungwana hapo 🔥🔥🔥🔥
2026-09-08 17:41:19
1
dany.msimamo
MR 255 GP :
mm binafsi napenda kusema hakuna mtu huwa anapenda kumsababishia mwenzie matatizo ikitokea imekuwa hivo jaribu kuwa mpole matatizo ni mojawapo ya situation katika maisha usilipe ubaya kwa ubaya
2026-09-07 18:54:45
0
mr.transporter4
Mr Transpoter4 :
Hii safi nmeipenda ubaya ubaya
2026-09-06 11:20:28
3
abuu.baba.ake.pol
AB.Mwana Mara tz🇹🇿 :
malipo DUNIANI mbinguni MAPUMZIKO
2026-09-06 07:37:02
1
davy.og
Davy og :
saf sana dharau mbaya aisee
2026-09-06 04:40:22
2
user6308577988831
power energy :
kiukweli usimuukumu mwenzako kwakosa ambalo unaaweza kulitenda
2026-09-06 06:21:58
3
tomd0094
Tom D :
Jamaa wa Scania amekosea kama alifatwa na hakuta suluhu apo imekwisha
2026-09-06 15:55:22
1
_treezy1
𝐰𝐚𝐤𝐮𝐭𝐨𝐛𝐨𝐚45🏆🎲 :
huo wema mi sina hat mm ningepasua
2026-09-06 05:20:12
1
shemtoi97
SHEMTOI FINEST % :
Jamaa ametisha sana sio kila kitu unamuachea mungu kuna mengine tunaya mudu tu sio paka mungu 😂 %
2026-09-07 04:33:49
1
abelpettermanunu0
manunuwematruck 🚛💯 :
malipo apaapa 😂😂😂😂
2026-09-06 10:09:09
1
michael67206
Michael :
atar ten xt ila jamaa kaleta zarau wap hii
2026-09-06 04:51:20
2
ibrahim.rassa
Ibrahim rassa :
watu wapo wengi wanakuletea matatizo wanakimbia jamaa alicho kifanya sawa wewe simama myamalize
2026-09-06 05:11:31
2
jumaeduardo5
juma eduardo :
kuna jamaaa alipiga jiwe gali ya zambia volvo kisa kama iko tukamsema wakatutukana sana wakatangulia kufika isoka wakaanza kutuomba mchango tena tumsaidie atoke ndani walimkamata .Na yeye ndo alianza kugogwa, akili muhimu tusiwe wajinga wawili barabarani any way jamaa wa tank kakosea dogo kashindwa vumilia maumv
2026-09-06 14:38:19
1
user3242979816035
masai boy :
Wajinaaa noma xaan huko mzee
2026-09-05 21:09:06
3
deokalinga1
deokalinga :
hakuna cha Scania wala faw Heshimianeni barabarani ni kweli watu wa Scania road wananyodo sana
2026-09-06 03:45:59
2
afisausafirishajimanyara
Afisa usafirishaji manyara :
zarau ni mbaya sana unakiambia unaenda wapi
2026-09-06 05:16:42
1
To see more videos from user @bushbaby940, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About