@uhuruonline: NILIPEWA TENDA YA KUPIKA 2019 NA HALMASHAURI YA BAHI SIJALIPWA NA HADI LEO #HABARI: MKURUGENZI Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bahi, Albina Mtumbuka, amemkabidhi Agnetha Maseka kiasi cha shilingi milioni 2.6, malipo ya madai ya huduma ya chakula pamoja na usafirishaji wa mizigo. Malipo hayo yamefanyika leo, Septemba 5, 2026, baada ya Waziri Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba, kutoa agizo la kulipwa kwa fedha hizo papo hapo katika mkutano wake wa hadhara wilayani Bahi, mkoani Dodoma. #uhuruonline #uhuruupdates

uhuruonlinetz_
uhuruonlinetz_
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 05 September 2026 14:34:52 GMT
282881
18291
1036
466

Music

Download

Comments

nifacomedian
Anifa Aut tinted :
Daah huyu Waziri Mkuu wetu jamani tunakupenda sanaa
2026-09-05 20:30:30
117
dimpoz_jojo
Dimpoz❤🇹🇿 :
ishu ni alipika au hakupika😂😂
2026-09-06 05:47:22
284
sonkojr36
sonkojr36 :
Usije ukaomba kupewa tenda na serikali
2026-09-05 17:06:52
590
dilhaheen
dilha heen❤️🤭 :
Huy baba awe rais wallah anapita mule mule kwa magu 🥰
2026-09-06 05:14:24
236
neemajohn231
ney😘😘 :
jamani Hadi huyu mmama mtumzima mnamtapeli😢
2026-09-05 14:44:28
104
haniyas_maa
Niyas_❣️ :
alipika hakupika?
2026-09-06 03:39:40
206
dar_capital_motors
DAR CAPITAL MOTORS :
eti kwenye kulipa ndiyo mnasema nyaraka 😂😂😂 kwenye kula haaa🤣
2026-09-06 08:22:49
110
coldroomtz
Immah Makari :
Walipe na riba hao wanatia aibu mpeni mama hata Million 5.
2026-09-06 06:20:45
113
olisa810
Moving Spirit(olisa) :
na apewe cash chap chap
2026-09-07 20:32:04
0
gasper1234560
Gasper :
nyaraka wakati msos walikula bila nyaraka
2026-09-06 05:33:31
41
sal34660
sal💕 :
2019-2026 heeeee
2026-09-08 06:46:10
0
chanyalmck
Chris :
TIME VALUE FOR MONEY.... The money you hold currently has more value than that you're going to receive at the future.. kwahiyo angeipokea hiyo hela 2019 angeifanyia mambo mengine mengi
2026-09-07 12:10:05
0
rhosabi
I’m Rhosabi🦋 :
Hata aibu hawanaa duh!🫣
2026-09-06 14:22:43
9
twin.msangi
twin msangi :
nauliza alipika hakupika????c nauliza mlikula hamkula dadeQ ilipwe zaidi.
2026-09-06 10:22:03
17
haikaapple
Haika Apple 🍏 :
ALIPIKA HAKUPIKA 😂😂😂
2026-09-06 08:08:12
52
shabani_store
SHABANI STORE :
Nimesoma comment zote
2026-09-07 13:47:37
0
manka.food
MANKA FOOD :
so walkua wanataka kumsumbua tu
2026-09-06 07:35:33
5
kudrals
K :
SWALI ? WALIKULA AU HAWAKULA??😂😂
2026-09-06 09:28:56
11
monicamussa685
Mom Eugen ❤️🥰 :
huu ndo utendaji wa kazi tunaoutaka
2026-09-06 07:24:13
36
eddy_incredible
Eddy-incredible :
Miheshimiwa wanatakiwa walipe na iterest, 1,800,000 mwaka 2019 ilikua ina uwezo kufanya makubwa zaid kuliko 2026
2026-09-06 05:01:38
67
magreth6847
magreth :
watu wana zambi sana daaaa😢😢😢😢
2026-09-05 18:26:25
27
To see more videos from user @uhuruonline, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About