@_pisces_ts: ❤️🙇‍♀️#funny #onemillionaudition #viralvideotiktok #fypシ゚ #trending

Geemmasi
Geemmasi
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 05 September 2026 14:35:42 GMT
114032
4544
77
105

Music

Download

Comments

ms_k0809
Kim's 🌹 :
I'm in the process mniombee 🥹
2026-09-06 11:21:21
3
haikaofficial1
mom Amaal🦋🥰 :
hii kibur yang mm ya virgo uwiii umo umo tu
2026-09-06 07:49:51
10
terysah21
Terry :
We belong together
2026-09-06 15:06:20
0
reymah956
REYMAR 💵💰 :
Hapana sio vizuri mungu hapend mwambie ukwel ili ajirekebishe maana hata jua kosa na hataweza kujifunza ni vizuri umwambie then endelea na mamb yako
2026-09-06 06:43:23
18
doreen.imrani
doreen imrani :
g we mchagaee🥰
2026-09-06 07:43:58
0
happinesses77
happiness :
kwakwel ndicho nilichokifanya mm baada ya kuona nipo kweny urafiki ambao ulikua kama utumwa kwangu rafiki yangu ninakupenda lakini sina muda wa kuongea na ww muda wote nikaona nisiseme kitu nikae kimya tu japo naona unapost mafumbo status
2026-09-06 13:35:29
2
user79450870408721
user79450870408721 :
Asante
2026-09-06 09:48:13
0
mamimaryam436
charo's dota436 :
mm nae nilimwambia mmoja sitaki kuongea naww wala sitaki kukuona sijui alijiskiaje ila nilimwambia tu ukweli
2026-09-06 08:38:40
2
clara.mushi0
clarito collection 🥰 :
kabisa G wangu 🙌🙌😔
2026-09-05 14:41:08
1
marianasukili
Capricorn ♑️ :
exactly
2026-09-06 05:56:58
0
politegirl88
polity girl :
Huyu Ndio mimi sitaki hata mazoea
2026-09-06 12:53:48
0
binti.wilawila
Binti wilawila :
ndo ninacho kipitia saivi
2026-09-06 12:08:07
1
mwajuma.shaibu02
Mwajuma Shaibu :
Haswaa 🙏
2026-09-06 16:39:46
0
ibrahimsunja815
Ibrahim Sunja :
yes
2026-09-06 14:19:22
0
aisha222506
AISHA 22222🇹🇿🇰🇪 :
watu wa mbea ndo hua nawafanyia hii jeuri 😂😂😂
2026-09-06 13:32:50
0
lizygue
lizygue🌹 :
uhakika
2026-09-06 14:17:00
0
lightnessmakuza
Lightness Makuza :
Sana sana dear
2026-09-06 14:29:50
0
user7612246563755oneday
mysala💕🔐🩷 :
we me yalinishida jamn mtu kuniumizaa miaka mitatu ikabidii Sasa nimwambie ukwel coz nilishidwaa kumsameh kisir Siri ilinishindaa ila toka nimemwambia tu ukwel saiv Niko na amn kabisa
2026-09-06 05:23:40
1
pecock.girl
pecock girl :
fact🥰
2026-09-06 12:25:23
0
elizabeth.mpemba
Elizabeth Mpemba :
𝑘𝑤𝑒𝑟 𝑘𝑎𝑏𝑖𝑠𝑎❤️
2026-09-06 18:04:52
0
ners536
NERS :
sanaaa
2026-09-06 11:18:31
0
ummyjengo
Ummy j🌹 :
facts kipenzi Kuna muda Bora uwe m'binafsi ili kulinda amani ya Moyo wako.🥰
2026-09-06 16:31:35
0
khadija05346
khadouj📿💜🇰🇪 🇹🇿 :
haya ndio mambo yangu nakuondokea taratibu
2026-09-06 13:04:26
0
trecy889
T 💝 :
Hakika
2026-09-05 16:58:56
0
To see more videos from user @_pisces_ts, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About