@ali_wisdom: Kwenye kitabu cha maisha yetu, utabaki kuwa ukurasa wa kwanza daima, Ewe rafiki! Maana uaminifu wako ni wa dhati, nasi hatuachi kuwathamini na kuwastahi walio waaminifu." "Mwenyezi Mungu akujalie kila lililo jema akujaze baraka Tele, kheri isiyo na kifani, na amani ya moyo iliyotulia." #creatorsearchinsights #viralvideo #foryou