@yohanamwaitenda:

Yohana Mwaitenda
Yohana Mwaitenda
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 05 September 2026 14:41:01 GMT
6816
244
49
16

Music

Download

Comments

renny.black.beaut
Aineksha🤎🤎🤎 :
Jina la dereva na kampuni yake please
2026-09-06 05:02:39
1
captaintips1
Captain Sports tz :
TUn aomba namba ya gari na ruti yake na mkoa gan
2026-09-05 21:19:44
2
maryjosephdamiani
MOM G COLLECTION :
ni bus gani tafadhali na namba ya gari tujiepushe naye
2026-09-05 17:25:01
9
user8875498542678
user8875498542678 :
taja kampuni kaka tulikwepe
2026-09-06 05:22:22
0
bigpompa1
Pompa :
kaishaa uyoo 😁
2026-09-06 03:26:32
2
neymonica
𝒏𝒆𝒎𝒂🍎 :
Mungu tulinde jmn dereva la hivi hapn
2026-09-05 18:38:30
4
pattysliquors
CPA 帕特里克·迈克尔 93 :
kosa kwann akutukane
2026-09-06 02:05:21
1
op_lugembe57
Matia Op_57 :
kikubw ufike salama jinsi ya kuendesha muachie davoo yey ndo anajua kazi yak
2026-09-06 09:00:59
0
angel.gedion
BLACK GIRL🌚🖤🖤 :
Kampun gani hii broo
2026-09-05 16:44:31
2
han.seo77
octavia🧚‍♀️🧚‍♀️ :
taja kampuni broo au wameshakuonga tayari😂
2026-09-06 04:25:16
0
iph_msomi
king👑 singa :
hii hatar sanaaa aise
2026-09-05 14:51:27
1
delacruzz35
Imuuh🤐 :
Mimi kama mfanyakazi wa mabasi cwez mruhusu dereva wng afanye ivii.. barabaran ktoka kiakili kdogo kunaeza kuleta hatari kubwa sana.
2026-09-06 03:52:32
0
jeiloh33
jeiloh :
Uuuh
2026-09-05 18:23:37
0
angel.gedion
BLACK GIRL🌚🖤🖤 :
Ee mungu nitangulie nasafiri leo 🥺🙌🏻🙏
2026-09-05 16:45:21
0
meguel34m1
J. Schumacher🇰🇪 :
abiria wa hivi vimbelembele sana ujuaji mwingi na wale wale wanaonaga makosa ya wengine ila Yao hawayaoni!!!
2026-09-05 20:30:54
2
moh.mbonde.tz
Moh Mbonde Tz :
kila mtu yupo upande wa abilia sema na ye abilia kazngua unarecord then unapost ya nn
2026-09-05 22:10:08
3
mary_197726
marychande🌹 :
kifo kipo2 Ata kama asipo chat lolote linaweza tokea uyo anae lekod na kupost yeye ndo anaeletq anguko la uyo dereva apo angeongea nae2 kwa ustarabu angeelewq na sio vizuri apo wote wanamakosq
2026-09-05 21:03:44
4
petermaroa41
mm :
bro una kimbelembele si utafika TU [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-05 22:59:52
1
vivan...1
vivan :
huwa nikiona dereva wa hivi nahisi kuchanganyikiwa
2026-09-05 15:41:32
0
rabiasarehe
Rabia😘 :
kaaah kwanz haw nyie, hamuwez amin nilikubal kushuka njian man pich linaanza konda yuko majii kawak co poa gar imejaa co poa ndan ya gar kulikua na wat kma 6 hv walikua wamelew pia, cjui gar ilikodishw kwaiy wakt wanarud wakaamua wapitie abiria wakwend nao dar. oya derev alipga majii,alikua anaona gar ina mabawa yooh na kulikua na folen bac akaw anajifny anahark hajl mlima wal mashimo ye ni mwendo2, chakufia nn tulipofk kituo cha mbel me nikaomb kushuka, pale pal stend derv akatk kumdondxha konda, alikua juu ya gar anashush mizigo ya wa2 ye akaanz safr ad wa2 walipig kelel acondke
2026-09-05 20:37:19
3
neema05_official
Gorgeous 😍 :
anapenzika kazini😂akamuulize bro ngoswe🙌
2026-09-05 21:32:20
1
evanna215
Vanna :
Familia ya mtu Hio ungemuuliza kwanza
2026-09-05 20:46:46
1
fizzlejr
fazoo :
yaan achat na tuwiuwiu inalia
2026-09-06 04:49:32
0
negro.del.silencio
Negro del silencio :
Bro jau sana umebeba maisha ya watu wengi then unachat
2026-09-06 06:03:07
0
mmarekanifundi7
B I G Fundi ujenzi :
atauwa watu
2026-09-06 02:51:07
0
To see more videos from user @yohanamwaitenda, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About