@islamicswahilinet: BABA NI MWAMBA WA FAMILIA Assalaamu Alaikum Warahmatullaahi Wabarakaatuh Mtume Muhammad ﷺ amesema: “Mwenye kumjengea Allah msikiti, Allah atamjengea nyumba mfano wake Peponi.” (Bukhari na Muslim). Hii ni fursa adhimu ya kushiriki katika kujenga na kukamilisha Nyumba ya Allah iliyopo Utengule, Wilaya ya Kilolo, Mkoa wa Iringa. Kila tofali, mfuko wa saruji, mchanga, kokoto au shilingi utakayotoa kwa ajili ya ujenzi huu ni sehemu ya Sadaka Jariyah, ambayo thawabu zake zinaweza kuendelea kunufaisha waumini hata baada ya maisha yetu duniani. 🤲🏽 Usidharau kidogo unachoweza kutoa. Huenda kile kidogo unachokitoa kwa ikhlasi kikawa sababu ya kupata malipo makubwa kutoka kwa Allah سبحانه وتعالى. Tushiriki katika ujenzi wa Nyumba hii ya Allah kwa kadiri ya uwezo wetu, ili iwe sehemu ya kuswali, kumdhukuru Allah na kuwafundisha vizazi vijavyo. Kwa anayependa kushiriki, unaweza kutuma mchango wako kupitia M-PESA: 0769 756 490, YAS | MIX: 0715 868 990, HALOPESA: 0619 115 190. Jina: MUDATHIR ISSA YOYOTA. #islamicswahilinet

Islamic Swahili NET
Islamic Swahili NET
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 05 September 2026 15:28:44 GMT
10344
1379
10
117

Music

Download

Comments

abdallahhassan9058
D Dallahs37 :
YAH ALLAH msamehee babangu yu mbele za HAKKI 🤲🏾🤲🏾🤲🏾
2026-09-16 19:23:55
0
user7415308038730
user7415308038730 :
mss my papa
2026-09-11 10:36:04
0
dipens511
Dipens :
kweli kabisa
2026-09-05 16:25:03
1
babaakram__
Baba Akram 🇹🇿 :
Allah amjalie baba yangu umri urefu na ampe mwisho mwema In Shaa Allah
2026-09-16 17:06:15
0
mrslove6119
💋mrs saidi 💦💫❤️❤️ :
nikwer bab nikila kitu
2026-09-06 09:27:37
1
faridazegema
Faridazegema :
🥰🥰🥰
2026-09-08 10:26:14
0
rayyu0027
rayaassa5 :
😂😂😂
2026-09-06 07:02:12
0
asmani5097
asmani :
❤️❤️❤️
2026-09-05 20:33:09
0
nahya350
cute ❤️ naa❤️❤️❤️💓 :
❤️❤️❤️
2026-09-05 17:46:49
0
madola.of
MADOLA OF :
😳😳😳
2026-09-17 11:02:57
0
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About