@lijei_tza1: DEREVA AENDESHA GARI HUKU AKICHATI — JE, UZEMBE AU UJUAJI?

Lijei TzA👑
Lijei TzA👑
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 05 September 2026 16:12:38 GMT
40943
1601
268
32

Music

Download

Comments

phenasjames33
Superman :
driver si poa please ,,,,,
2026-09-05 20:57:28
1
zenakhalid201
cute girl💄 :
Waulize na wajana [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-06 04:50:13
0
ydowedie
Adam Abraham9176 :
hold the steering with 2 hands... guy deserves to be in cells
2026-09-05 19:28:55
0
musa.bubelwa
Musa Bubelwa :
anaweza asichati na ajali ikatokea,, uo ni umbea ,,
2026-09-05 17:58:03
64
ezekia.wilson5
Mr. Wilson☑️ :
good job
2026-09-06 02:14:12
0
irdddy
Kadogoo decor :
Bora wewe umejari uzima wako
2026-09-05 19:18:45
12
user54562922025512
Samwely venanc :
Kama mimi boda nachati sembues dereva wa gar
2026-09-05 19:42:54
13
erasmi.mtui1
Erasmi Mtui :
kumrekodi mtu bila ruhusa yake ni makosa pia so hakuna mkamilifu hapo
2026-09-05 20:38:22
7
zayabbassi
Zayrat abaya😍 :
Mimi mtu akichati ama akiongea masim nakosa amani
2026-09-05 18:14:39
7
george_15454
mkirya :
kuchati so tatizo kama IPO ipo2
2026-09-05 18:55:09
7
franklymwakitego
Frankly Mwakitego :
mh sasa dereva anakosa gani? hapo
2026-09-05 17:35:27
6
abdurazack_3660
K I N G S O L O :
ata kurekodi mtu bila kujua ilo nalo ni kosa mkuu
2026-09-05 19:54:24
8
cngak1
cngak :
Tunaomba polisi mchukue atua iwe fundisho kwa madereva wa mabasi na pia tunaomba muendelee kuwasimamisha na kuwakagua na kuwauliza abiria jinsi gani dereva walokuwa nae anaendeshaje gari tunapoteza ndugu zetu mara kwa mara kwa uzembe wa wawatu kama awa wasojua wajibu wao wakiwa barabarani.
2026-09-05 18:06:49
11
peter.kitomari
Peter Kitomari :
kuchat ni mbaya sana maana hapo inawezekana ni pisi yake imemkataa anabembeleza mawazo yakahama akapoteza making barabaran
2026-09-05 19:17:13
4
deus.ernest8
Deus Ernest :
Mtu anapokosea muda mwingine ukitumia lugha nzuri kumuelewesha nadhan anaweza kukuelewa lakini hata mimi naona si sawa kuchat lakin inatakiwa umuombe ila huwez ukamcommand dereva kama uko nyumban kwako au uko na mke wako et acha kuchat😂
2026-09-05 20:15:19
3
mankajudy2
manka judy :
ila madereva wa ivi mm sitaki
2026-09-05 19:00:16
6
sangola4
prince sangola :
nchi hii haiendeleei kwa sababu kila mtu polisi hakim nchi inawatu wa hovyoo wengi unamkuta mtu anakasimu kake gari sio yako jamaa anania mzr ila Sasa anajefanya yy pilisi anacheo
2026-09-06 03:43:05
1
fundnlly
Fundnlly :
siku hizi kakitu kifogo mtandaono m naona ni kiumbea tu ili iwejesasa
2026-09-05 21:16:03
1
jamesjohn9815
jay j :
ishu sio kufukuzwa kazi iyo sio gari binafsi mkuu afanye ivo akiwa pekeake sijaona kosa la aliye mkosoa Sabab izo ni roho za watu
2026-09-05 20:56:38
5
michael.mshiu0
Michael Mshiu :
kuendesha gari uku unachart ni makosa hayuko kwenye kundi la udereva bora
2026-09-05 22:51:44
1
timotheondimbo
Timotheo Ndimbo :
Maonyo yanahitaji busara kubwa sana ukikosea unazaa tatizo kubwa zaidi huyo anamwondolea dereva confidence na pia anamkwaza kwa kukosa busara ya muda sahihi wa kumuonya na sehemu gani na kwa namna gani
2026-09-05 21:47:19
0
samwely.nanith
gurubay :
hatua ichukuliwe
2026-09-05 19:24:46
2
123456789k123451
BABALAO :
ndo maana zamani umri ilikuwa ni kigezo cha kupata leseni ya kuendesha bus😃
2026-09-05 19:07:03
3
user5856109005772
amani :
Dereva kuendesha gari huku unachat huo ni uzembe kabisa
2026-09-05 18:40:36
3
aniceti.njigula
ᎯℕℐЅℰᏆℐ ℕᎫℐᎶUℒᎯ :
hiyo ni basi hapo dereva ana makosa kibao kwanza ushonaji wake wa sterling hajafunga mkanda halafu yupo busy na simu yake halafu hana kauli nzuri kwa abiria
2026-09-05 20:14:20
4
To see more videos from user @lijei_tza1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About