Mi mwenyewe Kabla sijafanya kitu huwa namuomba MUNGU,kikishindikana wala siumii,na Katika maisha yangu silipizi kisasi
2026-09-05 17:11:34
10
karichwa kahopo :
Aki huyu mama nikama uwaniongelea mimi WALLAH
2026-09-05 16:29:09
7
Esther💕💫 :
mm wananiita tajiri na sina ata mia apa😂
2026-09-05 19:16:12
6
Ms fey :
Kama kuna mtu anabisha aje aniulize mimi 😅
2026-09-05 19:26:32
2
Maimai🥰 :
asante
2026-09-05 20:14:57
0
Mgeni J Mgeni :
Leo umeongea siri kweli kweli
2026-09-05 19:19:41
4
POLLY~LYNAH🦋❤️🧿 :
Ndo maana mi huwa siforce mambo 😂
2026-09-05 20:10:12
2
MPENDWA WA BWANA :
ni kweli kabisaaa
2026-09-05 16:55:55
3
zakiahassani975 :
Mungu ndo kila kitu jamani acha tuu
2026-09-05 20:08:41
1
Quin :
Da devota iv aya mateso mpaka lini jaman me nimechoka tokea mtoto sijawah pumzika mateso🥺kila kitu akifanikiwi
2026-09-05 19:11:14
2
G_muisrael 🇮🇱 :
sahii
2026-09-05 19:32:49
1
Shine store :
Jmn yn mm ndo biashara zinagoma mahusiano yanagoma kazi cpat ila nashukuru Mungu naishi kimiujiza miujiza tuu yn daahh ila wengine mmb yanaenda kirahis mpaka sasa mm ntaishi hiv mpaka lin
2026-09-05 17:10:29
0
JEBBY DJ :
daah, me huwa na shukuru sana mungu
2026-09-05 21:38:35
0
James :
leo kuna ishara imenionyesha mfungo wangu kazaa arafu baada ya kuzaa ikafa na ni kweli imetokea leo na nilitabiri tarehe 5 inazaa ikawa hivyo hadi nimemshangaza mke wangu
2026-09-05 16:45:48
2
Anifa Aut tinted :
kuna gari nilikata ticket likaniachaa niliumia nikapanda gari nyingine kufika mbele nikakuta ile gari imeangukaa watu wamepoteza maisha nililiaa sana
2026-09-05 21:35:40
0
sweet rose 🌹 :
ukweli kabisa Asante
2026-09-05 20:46:19
0
LionessAstery🦁 :
naanin Mungu ni mlinz mkuu hayo mambo yamenitokea Kuna sehemu walinikalia vikao alafu wao ndo wanapolomoka wamebak kuniita mlokole
2026-09-05 21:46:44
0
Angel beauty saloon :
Nalindwaaa snaa tu na dua za mama pia🥰
2026-09-05 19:41:34
1
@Nyiro :
wallah sijakosea kuku follow
2026-09-05 21:37:55
0
Rehema Suleiman :
Dada naomba number yako maana unanigusa sanaaaaa
2026-09-05 21:40:33
0
Asimwe :
Ni kweli dada
2026-09-05 20:41:11
0
Joannitah :
amen
2026-09-05 20:56:09
0
Eagle :
Me Twisi from Malawi,unaniongelea kabisa
2026-09-05 16:38:14
0
To see more videos from user @devotajs, please go to the Tikwm
homepage.