@45arqam:

Arqam fey
Arqam fey
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 05 September 2026 16:31:10 GMT
69882
1868
182
261

Music

Download

Comments

halihaf2
halihaf2 :
jaman wanawake wenzangu waume zetu wanapotoka kwenda kwenye shughuli zao tuwasafie nia na pia tuwaombee sana Dua hata kama imwtokea kukwazana ila Dua zetu kwao ni muhim sana Kwa sababu radhi ya mke ni zaid ya mama. yaallah wajaalie waume zetu na waume wa wenzetu wanapotoka basi allah uwafinike na rehma zako yarabby na wewe mume wangu nakuomba allah akupe afya njema na usalama allah akuvue na mitihan Kila unapopiga hatua yaallah urudi salama.
2026-09-06 05:15:16
94
user2121352179947
Abby :
Matusi ndo imekuwa style ya kuongea, jitahidini acheni izo mmb
2026-09-05 18:27:22
49
rmoh26_
rmoh26 :
ka over take uo mzee eh 😂
2026-09-05 20:19:49
2
tibudkhatib4
❤️‍🩹💍khatib,seif🔐 :
hakukua na ulazima wa matusi bro
2026-09-05 18:11:01
25
ummu.mohamed876
Ummu Mohamed :
mnapenda matusi muwe na Adabu.
2026-09-05 18:19:45
11
sley103
allysley :
jamni jiangalien na matusi hayo sio sifa!!
2026-09-05 18:38:58
15
runasa_89
Runasa_89 :
ss ayo matusii ya nn kweny ajal km hiii agh mnashindwaa kujielewaa vijan bhn🙌
2026-09-06 04:28:57
13
muumr71
MUKHTAR 🇨🇦🇹🇿 :
Sasa hayo Matusi ndio munawaombea hao waliopata Matatizo ama munawatukana kwa mitihani waliopata.
2026-09-06 03:37:28
4
23n091
nasria :
barabarani kuna mambo mengine hamuwezi yaona kwa macho ya kawaida
2026-09-05 19:07:23
6
mirhally
🔐🥳😘🫂Mrs musley😘🥳🫂🔐 :
ujumbe wangu serikali yetu mapinduzi zanzibar tynaomba sie wanachi tunaokalia kwerekwe fuoni kuendee tunguu kote mpk round kote waweke taazabarabanj na cctv camera atakaendesha speed alipishwe faint yaTZSH=/2000000 kwenda juuuu
2026-09-06 09:53:28
5
ibn_abass...12
@Safakh__12 :
wamepona., hakuna aliekufa bali injury tu
2026-09-05 18:20:39
5
user1309366669002
JANJA. :
hii ni AI jamn sio kwli
2026-09-06 15:18:46
0
buthaynaessence
buthayna budda 👑🦋 :
Dahh
2026-09-05 19:04:10
2
bin.issa.ktchen.d
bin issa ktchen dish :
matusi yana mchango gani hapo
2026-09-06 07:26:41
0
latifamohd1968
latifa :
Nilikuwepo kwenye gari nyengine,,ila gari yetu vioo vimevunjika mpk tunaondoka sisi hakuna aliekufa
2026-09-05 19:33:52
5
bint_hadhir25
bint hadhir25 :
siku nyengine ukipost video toa sauti
2026-09-06 11:42:37
0
hajira.ramadhani4
Hajira Ramadhani :
siku hizi zanzibar kuna ajali jamn daah ani wiki hiii nimeshuhudia ajali 4 mpk naogopa wallah
2026-09-06 07:24:58
0
breezzy209
BREEZZY 💙 😵‍💫 :
Mbona unatukana 😁😁
2026-09-06 13:17:22
0
mjukusuleiman
Mjukusuleiman :
Asilimia kubwa ya madereva wa znz nikiwemo na mm ni wazembe rabda hizi fain zinaweza kupunguza hii hali
2026-09-06 15:32:15
0
bestalpha7
bestalpha :
HII TABIA YA KUTUKANA TUNAPOTUMA VIDEO AU KUHADITHIA JAMBO TUWACHENI VIJANA WENZANGU.
2026-09-07 00:32:37
1
ernest_.7
Ernest :
hii ajari ilikaa mpaka usiku, me narudi night bado naikuta na folen yake.
2026-09-06 08:29:28
0
cbr7chadiboyfreefire
➳ᴹᴿ᭄₵฿Ɽ7₵Ⱨ₳Đł ༒₣₣• :
Jamni msameheni kakosea kaka angu ayo matusi lkn sio yy alo tukn ndugu zanguni tunawaomba msamaha kwa kutukn kweny iyo post
2026-09-05 19:50:16
3
user8594619401269
0624221778 :
nimeona kw macho yangu hio mm
2026-09-05 18:44:05
4
m.abdinna
Abdina :
DA PIPY MAMBOOO
2026-09-06 12:30:06
0
To see more videos from user @45arqam, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About