@mtumebulldozermwamposa: Nimeona Mungu akitenda, na bado anaendelea kutenda. Katika ibada hii, tunamwinua Yeye pekee. Mungu wangu, pokea sifa zetu.

Bulldozer Mwamposa
Bulldozer Mwamposa
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 05 September 2026 16:37:51 GMT
140625
29093
827
197

Music

Download

Comments

miss_ree00
@miss_ree🌸 :
MUNGU naomba utulindie huyu mtumishi wako mpee nguvu hakili na ufahamu aendelee kutuhudumia vema 🙏🙏
2026-09-05 19:18:03
120
aggy346
aggy :
Mwanza lini jaman
2026-09-08 09:12:02
1
user54019598176576
Emaaaaaa,marco💕💕 :
Mungu Anisaidie nipate mtu sahihi na dhawadi ya mtoto
2026-10-07 10:34:22
7
zainabu8663
Zainabu :
axant yesu
2026-09-11 07:36:41
0
jovitha008
user2163947092023 :
eeeeh mungu naomba nipate mtaji kirahisi nifungue bihashara zangu mwenyewe
2026-09-08 19:32:44
15
mtanzania233
Mtanzania🤝 :
kama unaamin mungu ndo Kila kt kwako gongaa lakee hap ❤️❤️
2026-09-06 12:16:17
11
dj.mbosso.t.z
🆂🅸🅽🅶°🅰🅽🅳🅴 🅶🅰🅽🅶🐵 :
ee mungu naomba unijalie mke mwema nijenge nae family nzuri yenye amani upendo na furaha kila siku pia umuangalie na mama angu magonjwa yote yanayo msumbua leo yawe mwisho maana nampenda sana mama angu nimeomba nikiwa na imani mungu utatenda
2026-09-11 19:52:45
5
happy.11633
Happy 11 :
tuliokuwa kuwa kisongo tumepokea🙏🙏🙏🙏🙏
2026-09-05 21:22:53
7
happynes.luben
Happynes Luben :
eeeemungu nakuomba umutuze vyema baba yetu wa kiloho nakupenda sana🙏🙏🙏🙏🙏
2026-09-07 10:18:55
9
idontentertainnonsense
𝙰𝚛𝚘𝚖𝚊𝚑 ✧ ✨ :
Mungu nisaidie nipatee kazi🙏🙏
2026-10-08 05:00:07
2
saida_shelimo_04
Saida_Shelimo_04 :
mungu akupe maisha marefu mtumish wa mungu🙏🙏🙏
2026-10-01 14:13:33
1
baby.doly05
baby doly :
mungu akufunue zaidi
2026-09-19 13:07:30
1
joyce.rodes
Joyce Rodes :
munguu awalindee
2026-09-07 17:58:42
1
sayuni015
Syn ❤️ :
Mungu nisaidie nipate mapacha wakike na wakiume
2026-10-03 16:07:53
2
milembempuli
Milembe Mpuli :
yaani mi leo hakuna kitu kimenikera kwa kweli kama umeme kukata nikashindwa hadi kufatilia ibada😭😭😭
2026-09-05 17:47:03
5
iucy.festo
Iucy Festo :
mungu akutunze baba angu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏tunakupenda sana watotot wakoo 🥰🥰
2026-09-05 17:32:31
5
mbise.tzd
𝖒𝖇𝖎𝖘𝖊.𝖙𝖟𝖉 🏀 :
asante Mungu kwa kunipa kipawa cha kuiyona siku nyingine
2026-09-06 01:45:15
5
raskag3
Call me QueenRogue🔥👸♊️🧿 :
Mtoto wangu kafungulia kupitia hii madhabahu Mungu ni mkubwa🙏
2026-09-17 13:45:08
1
shabina072
Sabrina ngalasi :
Amen 🙏🏻
2026-09-05 18:10:29
1
doris.kombad795gm
💥ma mkali💥 :
mungu ni barik nipate kazi nimechoka kufukuzwa kila siku
2026-09-14 05:59:58
4
james.saitabau.lon
james saitabau loningo :
l have seen god act and continue to act ;Aminaa
2026-09-05 18:51:15
2
lidia.sega
Lidia Sega :
Nikuona ivi najivunia fulaha moyoni mwangu🥰🥰
2026-09-05 21:57:41
2
user9936860081338
mgrth beuty :
amina baba
2026-09-05 19:21:07
2
estherfabian32
estherfabian32 :
mtumishi wa mungu
2026-09-06 15:21:55
2
wear_by_nana
wear_by_nana🦋 :
Mungu naomba umtunze mtumishi wako amefanyika barak kwa wengi
2026-09-07 08:16:26
3
To see more videos from user @mtumebulldozermwamposa, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About