@mvita_fm: GAVANA NASSIR AONGOZA MATEMBEZI YA AMANI YA AMIDZI KUDZACHA MOMBASA NA WANAJAMII WA KIMIJIKENDA Gavana wa Mombasa Abdulswamad Shariff Nassir hii leo ameungana na maelfu ya Wanajamii wa Kimijikenda katika Matembezi ya Amani ya AMIDZI Kudzacha kutoka uwanja wa Tononoka hadi Bustani la Mama Ngina Waterfront... Gavana alishiriki katika Kuzipiga Zana za Muziki wa Kabila ya Kimijikenda... Matembezi hayo yalimhenzi Shujaa Mekatilili wa menza ambaye alinda urithi wa urithi na Utamaduni wa Jamii ya Wamijikenda... Gavana ametoa wito kwa wanajamii waionee fahari Utamaduni wao hii ni kwa Kuendeleza Utamaduni huo hadi kwa Vijana ili uwaongozee Mustakabali Wao. Matembezi hayo yalihudhuriwa Pia na Wawakikishi wadi wa Maeneo wadi tofauti ikiwemo Amriya Juma Boy - Mwakilishi wadi wa Mjambere, Kisauni... #mwangawamvita #mvitafm