@afrosate: 🚨 Wachezaji wa Gaborone United walionekana kwenye kamera wakinyunyiza kitu uwanjani muda mfupi kabla ya kuanza kwa mchezo wao dhidi ya Yanga. Tukio hilo limezua gumzo kubwa miongoni mwa mashabiki, huku maswali yakiibuka kuhusu kitu kilichokuwa kikinyunyizwa kwenye uwanja huo kabla ya pambano lao la CAF Champions League. Maoni yako? #afrosate #football #yangasc
kumbe wasinge roga kipgo kilikuwa kinawahusu ndiyo mana yanga ilikuwa haipeleku mashambulizi kama tuliyo ya zoea ila tunamshukuru mungu kwa huko tulichokipata
2026-09-06 05:48:35
1
irene :
kama ni hayo wamefanya mungu hatoki kwao tumepata ushindi.
2026-09-05 19:38:15
1
D julius :
co kweli bhn mbn yanga wanacheza vzr kuliko wao
2026-09-05 18:03:42
0
To see more videos from user @afrosate, please go to the Tikwm
homepage.