Eeh Mwenyenzi Mungu nakuomba umfanyie hawa watoto uwepesi
2026-09-05 17:23:32
19
STELA Matias :
mungu msaidie huyu mtoto
2026-09-06 07:41:19
10
princess kasumi🦚 :
ya Allah wajaalie wagonjwa wote walioko mahospitalini na hata wale waliopo majumbani watilie wepesi katika maradhi Yao waweze kupona na sie ulie thjaalia afya basi zidumishe afya zetu na utuepushe na mitihani mkubwa na midogo inshallah 🤲
2026-09-06 10:20:36
6
beby Mage :
Mungu naomba uwaone hawa malaika wako mim ntasubir
2026-09-06 08:00:38
5
Moise Mihigo :
pole sana mungu akuponye
2026-09-06 08:34:37
5
Khadija Khalfani :
pole san mung atakufanyia wepesi inshallah hakuna kinachoshindikan chin ya jua🤲🙏
2026-09-06 07:25:40
4
charlie :
mungu shangaza Dunia Kwa kumponya huyu mtoto
2026-09-06 10:55:37
4
user4390825220873 :
Mungu mwenye nguvu simama
2026-09-06 09:53:40
4
tyna 114 :
Mola
waponye
watoto
hawa@
2026-09-06 22:01:09
2
To see more videos from user @ahsante.wolf.kambona, please go to the Tikwm
homepage.