@ozdantaraphael89: Ni rahisi sana binadamu kujiona yeye ni mkamilifu pale anapochagua kuyaangazia makosa ya mtu mwingine. Kwenye kila hadithi inayosimuliwa, kila mtu anapenda kujifanya yeye ndiye mhanga au mwema, huku akiyaficha makosa na mapungufu yake mwenyewe. Hekima ya kweli inatufundisha kutokua na haraka ya kuhukumu au kuamini kila narrative unayoisikia. Badala ya kutumia muda mwingi kukosoa na kutoa hukumu kwa wenzako, tumia muda huo kujiangazia nafsi yako. Binadamu wote tuna mapungufu yetu; tofauti ni kwamba Mungu amechagua kusitiri ya kwetu. Kuwa mstahimilivu na mwenye hekima! 🤲🖤✨#trending #swahiliquotes #fyp #TanzaniaTikTok #viral