agree but extend the yrs kwa madereva , in Tanzania may be 20 to 25yrs
2026-09-05 18:48:34
1
Eze🦀 :
kwa barabara gani ai afate😂
2026-09-06 07:20:30
4
caree :
to be honest unaongea point but u don't have convincing power
2026-09-12 19:15:57
2
chil_200 :
photographers wamepoteza Kaz kbs maana SSA hvi watu hawaendi studio Wala location kupiga picha AI Inamaliza mpka mavzi inakuvisha noma sna🔥
2026-09-05 20:31:19
2
Rajabu Malilo :
Gari za Ai sio tz bado sana
2026-09-06 04:02:16
2
elmas world wide :
kwa nature ya misongamano Barbara za bongo sna hakika kama AI self driving itatoboa
2026-09-06 19:24:03
2
Jack Ma :
haiwezekani Kwa Tz Kwa transport sector
2026-09-06 14:48:46
0
GIBE STAR🇳🇬 :
hasa wasanii
2026-09-06 10:23:15
0
MB THE FUTURE 29 :
mbona bolt
2026-09-07 17:48:47
0
YekrinaSoftwares :
ai haipotezi kazi ila muundo wa kazi utapotea
2026-09-07 10:53:14
0
Barzam Group Ltd :
itawezekana ila hio kwa Tanzania ni miaka 60 ijayo
2026-09-08 09:25:43
0
Organizer CC :
Siku zote Design aliotengeneza Client anaikubali ukilinganisha aliofanya mtu mwingine. Designer akifanya the same design aliofanya client lazima ikataliwe big issue mtu hufurahia kitu alichokitengeneza mwenyewe
2026-09-06 08:32:47
0
Celine Celine :
Sawa AI itawatoa wengi makazini ila sasa watu inabid wajue how to oparate iyo AI mana inataka maelekezo aifanyi kazi yenyew
2026-09-13 06:33:46
0
FarajaChoyishe04 :
nilichpenda tu ni huo msosi mnao kula
2026-09-06 04:32:41
0
GOLDEN_HOUR_STUDIOZ :
m n photographer lakn mteja wa kawaida kabsa anakataa ukitak kumuedtia kwa AI ptia account mara moja
2026-09-14 16:11:45
0
Papa Bonheur :
yeye mwenyewe ni AI
2026-09-19 06:41:59
0
Aneria🌸 :
kuna mtu ap9 anatafuna kwachu kwachu😩
2026-09-11 14:51:58
0
Jesse :
Anaongerea miaka 50 inayokuja Tz bado san.
2026-09-06 19:08:20
0
Bandu :
gombania goli za mataa ya karume Ai itatoboa?
2026-09-06 09:18:13
0
Mofulu :
mtafute yule mjapani alie tabiri AI na kuanguka kwake Ai Aiwezi kia ivo
2026-09-06 06:59:55
0
msekenijr :
🔥🔥🔥
2026-09-13 14:40:36
0
Benny Vicent :
😁😁😁
2026-09-17 15:34:19
0
To see more videos from user @amrisali_ifx, please go to the Tikwm
homepage.