@mrshadracktz: #creatorsearchinsights #contentcreationinsights Mr Mapanga anaeleza kwanini yeye hafanyi biashara bali yeye ni muuzaji 😳🔥 Lakini pia, uchawi kwenye biashara una faida gani na unaathiri vipi wafanyabiashara? 👀 #babahapumziki #TanzaniaTikTok #Viral

Mr Shadrack
Mr Shadrack
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 05 September 2026 17:48:22 GMT
74116
5490
114
105

Music

Download

Comments

nellycomedian1
nelly the voice tz :
😂😂😂😂biasharagani unatembea daaah ila huyu
2026-09-05 19:04:13
32
mrculturemmoja
Culture Ni Mmoja🇺🇸🇰🇪 :
machinga ndo nini???
2026-09-05 21:04:36
8
masanjaemmanuel34
Sanjay :
Mkopo wa Asilimia kumi wa halmashauri hauna riba
2026-09-06 10:00:20
10
dauddaud950
KingDMDofficial :
point hiyo tutaifanyia kazii
2026-09-05 18:26:45
27
bkshakerz
Blessdady 🤕 :
😂😂😂😂biashara wanatembeaga nayo
2026-09-06 06:41:21
8
davicyraghamaz
davicy :
mimi naitwa mapanga iringa😂😂🤣🤣🤣😏😏😳😳
2026-09-06 00:34:43
14
user40297696124344
Rahma Said 🥰♥️ :
biashara watu hawatembei nayo dah 🥺🥺🥺🥺
2026-09-06 11:51:31
5
miss.heryn
Miss heryn💕 :
Nilivyokua Mdogo nilikua namkimbia huyu najua atanichinja😂😂😂
2026-09-12 09:15:45
2
alexhamis01
mr p :
mbona nakwambia kila wakati
2026-09-06 06:39:34
2
kingotemaster
Abu yunus :
hii sio biashara aya mapanga nauza lakini mimi sio mfanyabiashara
2026-09-05 18:51:03
15
sompo1474
Tsitsitsi 🧄🍯 :
Mapanga Iringa Mme wangu muacheni mweee
2026-09-05 19:38:14
8
yasseensaed6
Yasseen saed :
huyu jamaa genius sanaaa
2026-09-08 11:15:48
1
williamngogo728
williamngogo728 :
Jamaa ana point hatari
2026-09-05 19:44:04
6
joelmakali595
Makali JR :
Mapanga iringa
2026-09-06 17:43:10
0
s.mait.mtarajiwa
saidi kachara :
mzee yuko sahihi ila kuna nnchi watu wanastahik kupewa mikopo yaivo ambao wanamifumo mizur yamaish yao ila kwa hap nnch ya mwenda zake ukampe mtu milion kumi kwa miaka 5 arudishe ela uyo kama alikuwa umempa iringa utakuta kishahama kama nyumba kishauza zamani mifumo yetu bado san tunaitaji mda san kufika uko
2026-09-06 10:01:35
5
dasmgumu
7mGuMu :
Riba ndo maana Uislam umekataza
2026-09-05 19:39:28
7
travels.matenga
travels matenga :
mapanga anayo akili nyingi sana
2026-09-19 11:56:48
1
pauline.machenda
Pauline Machenda :
mwamba hafanyi biashara ila anauza mapanga
2026-09-06 13:38:51
2
colyneriogontamin
Colynerio Gontaminga :
mbona hunielewi mapanga nayo biashara be !!
2026-09-07 17:12:00
0
hermanito_11
The Tesseract :
Naitwa Mapanga Iringa😁😁 huelewi Kiswahili?
2026-09-07 05:17:18
1
odb_95
Odemba :
kwenye mkopo wa 10% umekosea @mapangairinga mkopo wa 10% haina riba na mda wa marejesho inategemea kiasi cha mkopo
2026-09-06 10:56:57
3
user2236769879747
Silvia :
atye biashara wanatembeaga nayo😂😂😂😂
2026-09-06 10:56:26
1
frankenstein029
Frank :
hili jamaa ni linawakilisha sana
2026-09-05 18:12:02
4
kibasa19
kibasa :
ila riba mbaya sana aiseeee
2026-09-06 06:54:47
2
georgem362
King George 🗽 :
Baki kwenye Code Ndiyo utajua anachomaanisha mtu anajua kucheza na Akili Zetu Sana 🤣🤣🤣
2026-09-06 10:39:39
1
To see more videos from user @mrshadracktz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About