@kissanaa2026: Dawati la Elimu na Burudani Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Tanzania, wanaandaa Jambo na Msanii Mkongwe @Marlaw Zawadi ya Uzalendo kwa Watanzania. #🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

kissanaa
kissanaa
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 05 September 2026 17:49:56 GMT
11229
925
20
9

Music

Download

Comments

rich.rhymes7
Rich Rhymes :
nouma sana but so sad boy...☹️😔😞😢😢🥺🥺
2026-09-05 20:07:32
0
user2429554494995
Bruno :
nimefurah kumskia marow
2026-09-05 20:53:12
0
oficialvidyvisy
🎼 Vidy Visy 🍎 :
baba kanituma
2026-09-05 20:17:48
0
ivan.tz93
Ivan tz :
kisanaa broo
2026-09-05 20:19:10
0
khadijaabuu799
dida mzigua❤️❤️🇹🇿 :
waooo🤣
2026-09-05 18:16:02
0
yusuphu.hemedy0
Yusuphu Hemedy :
hii ndo Tanzania ya uhuru sasa ile ya kupgana pigana tunaitoa wapi? police mjitaidi sana baadhi ya maagizo kuyakataa ili tuishi nanyi ivyo.
2026-09-05 19:37:54
0
young_trapper_tz
NTWARA ICON 🦍 :
kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la kusema maana hata mimi sielewi ndugu zangu..
2026-09-05 19:56:52
0
husbandy1
KING LOVE💘💘💘 :
ila maafande mngekuwa mnaishi hv na raia mtaani nahisi nchi ingekuwa mwaka wa mbele ila baadhi yenu mnakera kissanaa uko vzr nakukubali mana najua police kama ww tanzania mmebaki wewe na dada angu wengne hamna kitu
2026-09-05 19:28:07
2
tanzania.zaykaree
Mama Boys :
Rita Ina Miaka 20 lkn Bado Tamu!🥰
2026-09-05 18:58:49
0
dizzo_boyy
D✝️i✝️z✝️z🤕 :
KITAMBO SANA MARROW
2026-09-05 20:21:41
0
kelvincharles631
kelvincharles631 :
eti blood huyo jamaa aliovaa koti ndio alioimba huwo mwimbo wa ritha chicha umeuwa sana jeee jeeeee minataka mfanye jambo bhna mbona media tunazo🔥🔥🔥
2026-09-05 18:07:20
0
simulutenously.eq
simulutenously equation :
❤️🫂🫡🙏
2026-09-05 19:54:31
0
andrewmynessgmail
myness🦋💓💕 :
❤️❤️❤️
2026-09-05 19:39:40
0
revo.madini
REVO :
💪💪
2026-09-05 20:31:53
0
ester.mdika5
Ester Mdika :
🔥 🔥 🔥
2026-09-05 18:56:45
0
najmahaji2
zawadi :
👍👍👍
2026-09-05 20:01:45
0
yessu.army
yessu army :
🫡🫡
2026-09-05 18:10:10
0
officialmamu008
🦋Maryam 🍒 :
🥰🥰🥰
2026-09-05 19:39:19
0
abbymustaph
abby mustapha :
💪💪💪
2026-09-05 18:02:26
0
s2kiddyphonepoint
S2KIDDY PHONE POINT :
@The Best Phone and Accessories
2026-09-05 20:32:46
0
To see more videos from user @kissanaa2026, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About