@isackpate: Sio kila siku niwe na maneno makubwa. Leo nataka niseme tu ukweli huu kwa sauti: nakupenda sana. Asante kwa kuwa sehemu ya maisha yangu. 🤍 💬 Tag mke wako kama unataka ajue bado ni chaguo lako kila siku. ❤️ #IsackPate #ILoveMyWife #Marriage #Love #CoupleGoals