nimempenda kwa maneno mazuri kwa wazazi japo yanaleta huzuni jamani barikiwa sana kwa kweli
2026-09-18 05:02:38
0
FROLA MYOVERA :
ongera kipenzi 🙏🙏
2026-09-06 12:23:17
2
user21051351240403 :
DUUU...MPAKA NIMERIA....JOHN MUNGU AKUSAIDIE ...UWAJALI HAWA WAZEE
2026-09-07 08:01:08
3
jennet :
daaah nimelia sana😭😭😭😭 dada🫡
2026-09-16 07:36:36
0
Beckham jr :
inaonekana webiti ulilewa vizuli nimelia namimi
2026-09-15 17:24:40
0
Shemsa Marato :
Hadi mimetoa machoz mwanangu🙏
2026-09-16 16:40:05
0
Rubeni elisha :
na zamani walikua wanalia ila wa Sasa wengi hawalii
2026-09-06 11:57:24
1
habiba kiponda :
mmmm!!
2026-09-06 12:55:05
1
Agree the boss :
wow 🥰
2026-09-05 20:33:35
1
loveness :
nn kuniliza bi harusi ww ni wa thamani sana una heshima ni mtii ulilelewa na wazazi ukaleleka hongera Binti mrembo hongera wazazi Kwa malezi hongera John 🙏
2026-09-16 19:48:06
0
Noella Michael :
Nimelia jamani 😭
2026-09-11 02:17:04
0
miss judy :
poresana
2026-09-14 13:52:03
0
rehema laizer :
wisdom words my daughters
2026-09-15 11:06:55
0
jane marco :
nimelia sana
2026-09-12 10:47:19
0
veronicasanga279 :
nimelia jaman yani we dada
2026-09-14 19:40:13
0
wema nyalega :
ndo kama hiv mway na mm nililia wakat natengana na wazazi Wang
2026-09-18 06:33:26
0
rosella :
hongera sana bint kwa maneno yenye busara
2026-09-07 19:39:01
0
To see more videos from user @wedding_tz, please go to the Tikwm
homepage.