@dr_daniel_md: 🫘 AFYA YA FIGO — USUBIRI FIGO ZIUMIE? Magonjwa ya figo yanaweza kuanza na kuendelea kimya bila dalili, ndiyo maana ni muhimu kujua namna ya kuzilinda, vitu vinavyoweza kuziharibu, vipimo muhimu vya kufanya na dalili ambazo hupaswi kuzipuuza. Katika video hii nimeweka mwongozo muhimu wa afya ya figo sehemu moja — chakula, maji, maisha bora, dawa, vipimo na watu walio kwenye hatari kubwa. 👉 Hifadhi video hii (Save) na mshirikishe mtu unayemjali. ❤️ Linda figo zako leo, usisubiri mpaka ziwe zimeharibika. #AfyaYaFigo #Figo #KidneyHealth #Afya #UgonjwaWaFigo
user74758426752
Region: TZ
Saturday 05 September 2026 18:29:36 GMT
Music
Download
Comments
ESSY Karingi :
figo on dialysis
2026-10-16 11:03:45
0
Sarah Zephania :
Figo nah acidic reflux
2026-10-16 12:18:59
0
Domie :
Figo please a
2026-10-16 09:11:31
0
user6290867910046 :
fresha
2026-10-16 13:39:19
0
Miss kajala :
figo na moyo unaniumaga sjuw shda nn
2026-10-16 20:49:28
0
fardosa abass :
vigo vigo
2026-10-16 04:44:29
0
ST MONIKA SHANGANI WEST MTWARA :
Figo na moyo
2026-10-02 19:13:43
6
Tons🥺🌹♥️ :
10/10
2026-10-16 15:15:21
1
Caramprint :
Kufa tutakufa tu
2026-10-17 04:59:19
0
Mabango Lux :
Pesa
2026-10-02 15:03:31
1
alimohammedomar1 :
figo
2026-10-04 08:07:47
1
1199 :
fingo
2026-10-17 12:24:48
0
@FutureYako :
Figo, cholesterol and insulin resistance
2026-10-03 11:46:44
2
user4838881273296 :
figo na kisukari
2026-10-05 12:29:51
1
user6330010565216 :
Figo na mapafu
2026-09-06 15:25:43
2
user2665011821201 :
figo na tumbo la uzazi
2026-10-07 11:13:41
1
poppy18 :
figo na kubalance hormone kwamwanamke
2026-10-07 14:05:24
1
idrisa ally :
hapo kwenye Bia naomba toa maelezo zaidi nikuelewe tofauti na hapo kama mnataka njoon2 mchukue Figo yenu
2026-10-11 04:39:31
1
BrWakid :
wenetu mmeambiwa muandike figo asa nyie mnajimaliza figo ini moyo😂
2026-10-01 07:41:13
1
Kojack McCoy :
figoo
2026-09-05 19:12:54
1
Tiger45 🐅 :
Figo × Moyo
2026-10-16 14:19:55
2
Ndivaa Shoo🦋 :
Gigi
2026-10-17 12:54:57
0
Rehema migila :
figo
2026-10-17 12:48:36
0
Abasi Mohamed :
figo
2026-10-17 12:29:37
0
Sussan Mshindo :
figo
2026-10-17 13:23:32
0
To see more videos from user @dr_daniel_md, please go to the Tikwm
homepage.