@sharifa.abdul05:

AMZURA JUICE AND ICE CREAM
AMZURA JUICE AND ICE CREAM
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 05 September 2026 18:34:37 GMT
79215
2716
166
272

Music

Download

Comments

ambassador.of.jesu5
Ambassador for Jesus Christ :
my dears, what is ubuyu in English
2026-09-30 21:51:23
1
auleriavivs
vian :
hiyo skari ingine in English plz
2026-09-14 14:55:58
0
sypianodhiambo
Cypian :
kazi nzuri sana, asante
2026-09-10 08:56:11
6
rahimaosumanijasi
rahimaosumanijasi :
wewe unauza shigapi dada samahani
2026-10-11 09:20:40
1
patrickmkombo468
Patrick :
je ukitumia Lita ishirin utapata barafu ngap
2026-09-19 15:35:34
2
julian_christambassador
Julz Lela :
sukari wa zuchu kwa kingereza yaitwaje? natokea Nairobi na napendezwa na kazi yako dada❤️❤️❤️
2026-09-07 13:03:16
3
afritamtam_mbeya
Afri tam tam :
Asante Kwa moyo wako, Mungu akutunze
2026-09-06 03:28:04
5
hawangubuli
Hawa Ngubuli :
mbona mi nilijaribu kuweka rangi zikawa na chunvi
2026-09-09 13:11:11
0
user9787554355038
user9787554355038 :
mashllah unajistiri Dada mung akujalie umri mrefu dada
2026-09-06 10:50:02
1
omar.juma11
Omar Juma :
dada mm niko zanziba iyo sukar ya kk nitaipata wait?
2026-09-26 18:26:04
0
masai_lady_msafi
maasai_lady msafi :
thanks dear jaman nakufatuliaga sana yan love u🥰
2026-09-10 05:00:00
1
shaniabasy
shani abasy :
Asante nimeelewa
2026-09-07 17:34:22
1
user713306953
user7265009389357 :
mie nishafahamu vizur lakin ntk iyo sukari y zuchu inapatikana wapi
2026-09-09 20:33:37
1
ashuraathumani98gmail.co
user9159868322021 :
sasa ukifika dukani unauliza sukari ya zuchu au kk
2026-09-06 09:42:13
0
dolla.malamsha
Dolla Malamsha :
Mimi nilichemsha uji ukaungua😂
2026-09-06 19:53:04
1
eggyagy
eggy :
nakupenda sana we mdada,🥰🥰
2026-09-08 07:51:06
1
jacklinenicholaus6
Jackline Nicholau686 :
ubarikiwe Kipenz
2026-09-08 10:32:18
1
user32868752935410
user32868752935410 :
mashaallah
2026-09-25 14:45:53
1
dinah_12393
dinah_123 :
kumbe unaweza kuweka Hadi unga wa muhogo me nawekaga ngano nilitaka rangi tatu labda
2026-09-11 10:51:48
0
saida.mbezi
Saida Mbezi 😇 :
huo unga wa mhogo unasaidia nini
2026-09-06 11:25:44
0
isha_bites
Isha bites :
step one unga gani ulio mix kwa ubuyu
2026-09-06 14:42:06
2
tinna4663
Tinna :
Kecha wauza Pesa ngapi
2026-09-06 03:26:51
3
user4833833054091
🌹 :
hiyo sukari ya zuchu au KK Ni sukari gani ama iko Na Jina ingine
2026-09-06 07:16:09
3
mumycamilla
mummycamilla :
siku nikiweza kufunga kwa kamba ntafurai jmn
2026-09-06 04:04:11
1
pamellawilliams06
Pamella0 :
Ndoo ya lita 5. Unaweka kiasi gani ca ubuyu? N kiasi gani ca unga wa mihongo, n kiasi gani ca sukari. Pls dada nijibu 🙏
2026-09-13 13:04:53
0
To see more videos from user @sharifa.abdul05, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About