@sweet_lishe: MAPISHI MATATU MATAMU SANA YA GIMBI 1.Magimbi na tui la nazi 👉chemsha magimbi, kisha pika kwa tui la nazi 👉ongeza unga wa iliki kidogo. 👉ladha tamu na mafuta mazuri ya kuongeza uzito wa mtoto. 2.Magimbi karoti na supu 👉bandika magimbi na sagia carrot kisha ongeza supu na swaum kidogo sana iliyosagwa 👉pika mpaka kiive vizuri kisha pondaponda au saga 👉Hii huongeza vitamini A ambayo ni nzuri kwa afya ya macho na kinga ya mwili 3.Magimbi na maharage mekundu 👉Chemsha maharage mpaka yaive (bakisha mchuzi) 👉ongeza magimbi kwenye maharage, kisha pika mpaka yaive 👉ongeza tui la nazi na upike mpaka liive ipua saga mpe mtoto 👉Hii huongeza protini na iron kwaajili ya damu

sweet lishe
sweet lishe
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 05 September 2026 18:42:36 GMT
76184
1438
19
244

Music

Download

Comments

bbyaggy1
♍️ :
mm hua naosha na maji yenye vuguvugu
2026-09-05 21:43:00
4
sashilady
Sally :
Vipi kama anakula mtu mzima..jee ni lazima kuloweka...msaada kipenz mana nayapenda mno😍
2026-09-05 19:43:36
3
user5080023935078
BAHATI :
hasnteee snaa
2026-09-12 18:57:49
0
jamillahmwaijibe
Jamillah Mwaijibe :
mmmmmh jamani tupumzisheni basi
2026-09-09 06:22:24
0
ruuspicyasmr
ruuspicyasmr :
unaloweka muda gani
2026-09-08 08:23:19
0
elizabethkafuta50_
Elizabeth K💕 :
my favourite
2026-10-04 05:27:47
0
user001michellemish
Michellemish🪪 :
kindly,can explain in English please
2026-10-04 05:44:36
0
user4265312935694
user4265312935694 :
naloweka usiku napika asubuhi
2026-09-10 09:59:23
1
didis_creamcakes
didis_creamcakes :
asante
2026-09-06 14:05:28
2
ranceaspe1
Aspe✨ :
ukioshaa na majii ya uvuguvugu je
2026-09-09 12:34:28
0
iffat2727
Banu :
🙏🙏🙏
2026-09-10 10:03:12
0
To see more videos from user @sweet_lishe, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About