Mashaallah hii yote sadaka yake ndio ilomtatulia matatizo yake 🥺Allah atuongoze
2026-09-05 19:58:11
87
Ummu Twins :
Maashaa Allaah Allah azidi kutuongoza kwasote Ameen
2026-09-05 19:22:56
30
bakari gonso :
Allah allah
2026-09-06 04:04:44
0
user4615392599800 :
Mashallwah
2026-09-06 04:08:19
0
Mr. A :
HUU NDIO UISLAAM TUNAOZUNGUMZIA.!!
2026-09-05 21:12:54
10
user55857532962556 :
dah mtihan kuna watu wanamilik milion 10 kwa siku ila hatutoi Ata mia dahh
2026-09-05 19:33:38
17
Yousouf Business :
Sio lazima umsaidie mtu uweke mtandaoni sadaka ni siri
2026-09-06 05:38:09
3
Mariam Kakwaya :
mashallah alicho panda ndio anavuna sasa Mungu mkubwa 🥰🥰🥰
2026-09-05 19:57:33
13
Shadrack Msagati :
Shekh hata mm ni shahid kwenye hili huyu mama anatoa sadaka yake kila akipita pale msikitini
2026-09-05 20:11:36
18
Mmmmmmm :
sheikh kishki Allaah Akuhifadhi
2026-09-05 19:05:35
9
kaka salim :
ameen thuma ameen
2026-09-05 19:22:06
0
سَلَامَة عَبْدُ الْمَالِكِ :
ni Mimi tu ndo machozi yangu yapo karibu au
2026-09-05 19:53:23
6
kututhumu msandawe :
Allah akuzidishie shekh kishk
2026-09-05 19:07:06
1
Mwanahamis Shabani :
Mashalwaaaaa
2026-09-06 06:17:07
0
MRRAYYAAN7 :
mashaallah mungu akuzidishie zaid na zaid
2026-09-06 05:57:58
2
binkhalifa :
Allahu Akbar Allah akulipe Sheikh wetu
2026-09-05 19:02:26
8
Safina Mauridi :
mashallah shehe
2026-09-05 19:29:30
1
mariammassoswa0 :
ALLAHOU akbar 🥹🥹🙏🥹
2026-09-05 22:00:51
2
Makyando the Great :
Wallah Kwa ninavyokujua Mimi mwenyewe Sheikh Kshki nikiwa nishakuwa msaidizi wako wa karibu sana Allah hatakuahisha Kwa lolote Lile. waseme wasemayo wasiokujua ila Mimi nitabakia kuwa balozi wako mpaka nakufa. Na kama Kuna yeyeote anaetaka kukujua Kwa dhati anifate aniulize. Dua njema nitakuombea na Nina Imani Kuna mengi unayafanya Kwa Siri haya ni mchache saaana unayoyaonyesha kuifundiosha jamii. Allah azidi kukuthibitisha Kwa haya na mengime mengi. Amin
2026-09-05 20:25:47
8
hafeez :
MashaAllah
2026-09-05 19:28:13
2
Raeight Liston :
mashaallah
2026-09-05 19:39:36
2
official teddy :
sasa apo nimeamini kusem sadaka inanguvu sana 🙏
2026-09-06 02:49:32
4
abdoul ally🇧🇮🇧🇮 :
ma nshallah allah ukubarik
2026-09-05 19:29:28
3
bayern :
N bilioni zikilipwa za ustadh juma mambo yatazidi kuwa mazuri
2026-09-06 03:59:09
4
Rizikimoahmmed :
mashaallah
2026-09-05 19:31:14
0
To see more videos from user @mr_othman_tz, please go to the Tikwm
homepage.