bola lake la mfuta lipo juu kwahy mafuta yakibak lita moja boya linakuwa lipo juu kwahy mafuta yanakuwa hayawez kwend kweny carburetor hivyo pikipik aiweze waka
2026-09-06 11:58:11
3
David Myalle :
Sasa isiwake kwann ?
2026-09-06 07:34:32
2
Smart sojja :
kama ya babu yangu kaniachia haifi miaka buku
2026-09-06 05:09:42
3
erasto :
Ataliwa hela na hatoamini.
2026-09-06 08:19:21
0
keyframe_vision :
Kama reserve tank ni lita 2 na koki ikawa tank kubwa kweli haiwaki ila hakuna logic nyingine
2026-09-06 08:25:41
1
_fřäďēé_Ęfx﷽☪ :
uongo atakama ni gari ya petrol mafuta yakifika kweny kapreta inawaka ani uyu anawatishia maisha tu
2026-09-06 16:32:45
0
Mjune Selestini :
waitu waitu😁
2026-09-06 11:04:57
0
Amani Amoni :
ila wahaya
2026-09-06 15:41:04
0
Cokap :
ila wahaya
2026-09-06 18:01:47
0
Raulent Dioniz :
hizi pkpk zinamfumo kwenye koki ya mafuta ilibaki na mafuta kidogo inazima lakini ukinyonga koki yamafuta iangalie chini inawaka
2026-09-06 08:24:52
1
Majux :
msalimie mzee wangu
2026-09-06 16:11:06
0
erickchristopher51 :
nina XR 650 Lita 2 haiwaki
2026-09-06 09:17:23
0
mpuruti :
msameheni bana
2026-09-06 12:08:08
0
artulodenva :
wahaya hawaa
2026-09-06 10:31:59
0
Lugege :
mbona engine ni ya SANLG
2026-09-06 10:11:43
0
Given99 :
Ehee ilikuaje ?
2026-09-06 11:59:33
0
mwita nyamhanga :
mmmmh
2026-09-05 21:43:48
0
Aloyce Mush :
ila wahaya😂
2026-09-06 08:24:39
0
Ngosha :
ila wahaya
2026-09-06 19:44:33
0
lukalaog8 :
IL waze wa sisi emuuu
2026-09-06 06:30:41
0
Deedone165 :
kweli anacho kisema Ata Mimi ninyo nikweli
2026-09-06 07:18:18
0
Ramze@ :
kabila please
2026-09-06 09:44:52
0
mmedy :
hiyo hata robo lita inawaka
2026-09-06 07:34:03
0
YOBU 🫵 :
Babu msijichanganye huo ni mtego .. hyo pikipiki kama haina lita mbili haiwaki 😅😅
2026-09-06 07:03:41
2
To see more videos from user @nabii.robaleookumu, please go to the Tikwm
homepage.