@jugo_media: Neno la Mhashamu Jude Thaddaeus Ruwa'ichi, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam, mara baada ya kuwekwa Wakfu Mhashamu Vincent Mpwaji, Askofu Msaidizi wa Jimbo hilo. . . Adhimisho la Misa Takatifu ya Daraja Takatifu ya Uaskofu kwa Mhashamu Vincent Mpwaji, Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam. Misa inaadhimishwa na Mhashamu Jude Thaddaeus Ruwa'ichi, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam | Viwanja vya Msimbazi Center Dar es Salaam. : : #jugomedia #injilikiganjanimwako #jugomedialive @jugo_media www.jugomedia.net
Acheni kutumia vifo vya watu kwa misingi ya kisiasa! nyie katolikichade Sijawaona mkizungumzia mauaji ya kisiasa ya mwaka 1999, wakati Mkapa, Mkatoliki mwenzenu, akiwa rais, pamoja na ajali ya MV Bukoba na ajali ya treni Dodoma. Je, wakati huo waliokufa hawakustahili kuombewa? Kwa nini leo jambo hili linaibua mjadala wa kisiasa? Kuwaombea marehemu ni jambo jema, lakini msimamo uwe mmoja kwa wote, bila kujali dini ya rais aliyepo madarakani. Tusichanganye dini na siasa
2026-10-29 09:47:40
0
Opiyomasamasa :
Jimbo kuu la Dar es Salaam,lina Maaskofu wasaidizi wawili Sawa Sawa na Jimbo kuu la Nairobi
2026-09-08 07:30:19
0
Melody Tesha :
catholic 🔥🔥🔥
2026-10-26 09:58:51
0
Chinni plumbing Tz water point :
I love you Roman Catholic [Red heart][Red heart][Red heart]
2026-10-11 12:30:30
1
Epton Mpeka :
milele Amina
2026-09-26 16:36:28
0
bettymdenye1 :
Amina
2026-09-06 19:40:30
0
Clovis Kise :
me félicitations à lui ❤️❤️❤️
2026-09-05 19:33:12
1
missm :
Amen
2026-09-05 19:43:48
1
Faby baiby :
aminaa
2026-09-06 18:01:12
0
alphani hamisi :
🥰🥰🥰🥰
2026-09-06 15:50:56
0
Amedeusy@ :com 2472 :
Amen
2026-09-06 17:05:11
0
user1627954112835 :
amina
2026-09-08 20:49:52
0
𝓱𝓭𝓬𝓸🫶🫶🫶👊🤑 :
🙏🙏🙏
2026-09-23 15:50:33
0
Tunajenga Arena :
🥰🥰🥰
2026-09-06 14:57:31
0
Avitus Albin :
🙏🙏🙏🙏🥰
2026-09-08 06:54:56
0
Kaly Zek :
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-09-08 05:10:05
0
rawmoses :
😇
2026-09-06 17:14:33
0
Merky :
🙏
2026-10-02 11:35:52
0
Madam marry :
🙏🙏🙏
2026-09-06 13:03:23
0
Sakaya Lobebeki :
🥰🥰🥰
2026-09-06 03:53:01
0
Renatus Sigifrid :
🙏🙏
2026-09-05 22:29:10
0
GM.tz :
🥰🥰🥰
2026-10-22 21:33:07
0
To see more videos from user @jugo_media, please go to the Tikwm
homepage.