@lizzobrand2: Nyie mtamani tu#😂😂😂 #tiktokkenya #tiktokkongo

Mrs lizzo✅
Mrs lizzo✅
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 05 September 2026 19:50:42 GMT
288138
23401
953
1535

Music

Download

Comments

prisca.matiko
N.E.L.S.H.A ✨️ :
Kuna cku mme wangu aliniambia nikipata mtu mwingine anioe 😂😂😂
2026-09-06 07:24:31
1037
siwemandenya
cee 💕🧕🏾 :
Ngoja nibane kicheko asije akadhani nimemsamehe
2026-09-06 09:20:49
418
pretty.m256
Meli🎀💕🦋 :
Ila ela ya kula unaacha ili adui yako asife njaa😂😂
2026-09-06 10:53:34
660
almiskir
Baby yaa :
kwatulio kwenye ndoa tunaelewa tuu vzr
2026-09-06 04:38:18
873
heri.cute6
HERI CUTE🦋 :
me aliniambia najutaga kukutongoza ile siku ningefanya tu mamb yangu😂
2026-09-06 12:33:09
242
sonable10
Sonable🐾 :
Leo kila mtu anamume kwenye comments 🤣🤣🤣
2026-09-07 16:15:04
131
pochi.za.malkia.tz
pochi za Malkia :
nikiamua naamka najiliza makusudii..tena usiombe unifokee🤣🤣🤣
2026-09-05 21:03:46
121
savia5169
Mrs Nasiry💞❤️ :
Mme wangu kuna mda anaamka kanuna huyo ila akifika kazn anapiga et nimekumiss jmni jmni ndoa hizi
2026-09-06 08:26:35
107
mariam.hoja2
Mariam Hoja :
kitu kinachonichekesha mkiwa mmegombana yaani ukitoka unaogea vizuri ukiludi sasa ndani ugomvi unaendelea kama kawaida😂😂😂😂😂
2026-09-06 04:27:23
61
sharifaissa3
sharifaissa719 :
kuna mda unapigwa tukio mpka ukiona watu wanafunga ndoa unamuonea huruma bibi harusi🤣🤣🤣
2026-09-06 12:58:57
93
herself808
𝓽𝓱𝓪𝓽𝓰𝓲𝓻𝓵 𝓵𝓲𝓵𝔂🍃🦅 :
Me nae ndoa sitaeza nikienda tu kwa bwana ang kukaa siku nne tatu hatuongei moja tunaongea
2026-09-06 09:13:54
38
raymah__
RAHMA🍒🌸 :
Yan unamchoka mtu kumfukuza huwez 😂😂😂
2026-09-06 14:18:19
66
mrs.sallex
Mrs sallex🦋 :
Kwa kweli hawajui
2026-09-06 08:41:25
35
khadijajuma004
khadijajuma2604 :
mhh ni kweli mm Nina siku ya pili
2026-09-06 20:02:00
26
0li.vash
0li 💞💞 vash :
me mme wangu aliniambia lait maisha yangerudi nyuma asingenioa angetafuta mwingine
2026-09-07 11:08:54
14
unlimited3532
無限 💖 :
Hata sielewi jamani kwani wazazi wetu waliweza vipi?? Sijawai kuona wanapigana wala kununiana au walikuwa wanaigiza furaha mbele zetu, Sielewi kwa kweli 😊😊🤣
2026-09-07 05:43:31
20
angelmussa2
angel🌹 :
😂utasikia najiungamanisha
2026-09-06 05:10:17
23
user669746826
Bi Hawa Bakari :
Kuna siku mume wangu alinambiya,, anataka aondoke mbali aniachiye nyumba, 😂😂😂 jamani ndowa hizi
2026-09-07 18:38:10
5
emmy.fatu4
Emmy Fatu :
jmniii mmejuajeee mie mwenzenu tunakalibia mwezi😁😁
2026-09-06 10:48:53
35
moniquetz2
monique-tz :
Mume wangu alikua anasemaga anatamani akapange geto lake aishi mwenyewe
2026-09-06 19:28:01
14
ummusuheil56
Swiyaam mmbaga💕💕 :
yaan nakunasisi tunanuniana mwisho tunaanza kujiuliza imekuaje😂😂
2026-09-06 09:17:02
7
fyfypeny6699
fyfy🦋peny_ :
Kumbe nyie mlienda kwa wenye ndoa
2026-09-06 04:51:37
23
rachelkizumberechogmail1
Humble girl, :
huu ndo ukweli sio uongo ohooo🤣
2026-09-06 09:31:30
8
bethistar
bethistar :
Namuona mume wangu hapa pemben anacheka maan anajua mke wake nanunaga week nzima mpk yeye mwenyew aniongeleshe
2026-09-06 07:26:52
15
mrsmilola1996
Mrs Milola Official1❤️💍 :
Mbona mnatusema Mimi na mume wangu 😂😂😂😂
2026-09-06 16:51:11
16
To see more videos from user @lizzobrand2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About