@gidetv_media: Katibu Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa Kenani Kihongosi akijibu juu ya wapi alipo aliyekuwa Makamu wa Rais Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi na Hamphrey Polepole. 🎥 #chiefodembatz #viralvideo #trending #newstoday
jaman mnaotupa foil barabaran punguzen pilipili mtakuja mniuwe 😂😂😂
2026-09-05 22:44:24
39
Machinist :
Kwan ni mke wake huyo ajue alpo?
2026-09-05 21:56:36
14
braytonnorobeth1 :
Nacho amin mungu Huwa hadanganywi
2026-09-05 20:43:37
40
TheoMtibeli :
At least he was very calm.
2026-09-05 21:34:13
0
Audax Faustine :
ila Odemba
2026-09-06 04:50:25
3
barakagerald :
duh huyu jamaa anajua kujibu asee
2026-09-05 21:21:21
7
mbangwism :
inauma sana🥲🥲🥲🥲
2026-09-05 21:22:40
7
Nyamarasa Mgaya :
huo uchunguzi umefikia wapi?
2026-09-05 21:17:48
6
mtalam wambinu za vidole :
safi sana bwana odemba
2026-09-05 21:56:28
6
Nassoro Mkwanje :
Huyo Polepole ukomredi anautoa wapi wkt hiyo CCM kaingia juzi tu akiteuliwa na Kikwete kuingia bunge la katiba ila Nchimbi ukimwita komredi ni sahihi sio Polepole yeye si komredi
2026-09-06 05:22:08
0
It's me ✌️ :
nothing
2026-09-05 21:33:09
1
BIGDADY♌ :
hii inaitwa "Deceptive persuasion" hawa ni watu from same group. wanafanya brainwashing.
2026-09-05 22:32:22
7
msukuma mnywamaziwa :
mmh viongozi wanatoa mifano ambayo khata haviendani na usawa wa taifa na unzarendo
2026-09-05 21:19:25
11
Florian Mnubi :
wauwaji wakubwa hao..Odemba Mungu akubariki sana kaka yangu,ila nawewe uwe makini kaka wasije kukuteka hao Samia group
2026-09-05 22:23:50
6
Animal care 🦒 :
odembaa, yuko na akili nyingi sana, maswalii ya kisomiii, god job brow 🙏
2026-09-06 06:42:19
3
daudi.S.M :
ila chief odemba unajua kuwahoji brooo🙏
2026-09-06 01:38:42
4
Nurya2023 :
Anajibu kwa kumuogopa mtangazaji
2026-09-06 04:08:31
3
Abdallah abwa :
😁😁😁mnschekesha sana
2026-09-05 22:30:36
3
Joseph Temba :
jamani mnamwelewa huyu?
2026-09-05 22:15:10
3
Faraja :
mtangazaji yako very sana
2026-09-06 06:14:30
2
To see more videos from user @gidetv_media, please go to the Tikwm
homepage.