@puttapain: #onthisday

Molux
Molux
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 05 September 2026 20:42:39 GMT
69021
4016
222
109

Music

Download

Comments

msomapascal3gmail.com
user9728615928068 :
Network imeanza kushika
2026-09-06 03:33:46
86
syolaaggrey39
syolaaggrey39 :
sisi ma Gen Z wa mambaz 24 tuko pamoja na wewe CEO
2026-09-06 03:31:30
180
mirajiismail2020
%i'm MIRAJI_ :
hii kweli mbunge walau awe na degree au diploma
2026-09-06 05:39:52
32
kareem.trossard
Kareem trossard!^ :
kama kuna m2 unampointi jamaa wa kigoma
2026-09-06 01:44:36
31
vin_x5_official
Vin X5 :
naomba kuuliza elimu ya dudubaya
2026-09-06 12:52:10
5
godfrey.kyamba2
Godfrey Kyamba :
bg up brother
2026-09-06 09:41:40
0
miamoja8
Mzungu mweusi :
huya jamaa Yuko smart sana
2026-09-06 05:08:50
26
davidi.pundex
Davidi Pundex :
akili kubwa sana
2026-09-06 02:11:39
17
baghabagha.ingwen
Baghabagha Ing'weng'we :
kuingia bungeni ni haki ya kila mtu ya kuchagua na kuchaguliwa. kwa ukijua kusoma haki yako kuchaguliwa
2026-09-06 04:14:12
8
songa.255
SONGA :
mambaz 24 for life
2026-09-06 11:50:45
1
simonmwakitalu
SIMON_MWAKITALU :
till last drop
2026-09-06 08:38:29
0
manyota100
Big Manyota :
kusoma sana sio kukujua jinsi ya kuongoza watu , uongozi na elimu ni vitu viwili tofauti, apo dude baya hakumaanisha kuwa mbunge anatakiwa kusoma sana bali mbunge anatakiwa awe anajielewa kaenda bungeni kwa lengo la kuwa kiongozi bora na kuwatumikia wananchi sio kuitumikia serikali iliokuwa madarakani, wabunge wemgi walioingia bungeni wanaitumikia serikali na sio wananchi waliowachagua
2026-09-06 06:16:47
5
johnluhende5
Ngosha Family💪 :
unafaa kua mkuu wa mkoa dar😁😁
2026-09-06 07:25:21
7
17790_a46
lighter_46🤓 :
ndiomaana nchi zilizo endelea wanaangalia elimu,uchumi uelewa wa siasa na ushawishi wako Kwa raia ila kwetu sasaa😂🙆💔
2026-09-06 12:54:48
2
mussa_sajeni
MOZE :
so smart👍
2026-09-06 05:20:34
0
72nuru
nuru ya umeme :
pefect
2026-09-06 04:43:31
2
rehemaemmanuel162
Rehema Emmanuel 💞 :
Mimi namkubali sana Mbunge msukuma yule jamaa ana madini Makali sana kichwan
2026-09-06 11:21:13
0
eddo4041
eddo4041 :
dah😅😅ila mwanza mnatoaga vigogo hatar
2026-09-06 09:37:27
2
danieljackson478
Denyo wa igovu :
Huyu jamaa anaakili nyingi sana kuliko hata mkuu wa mkoa flani.
2026-09-06 11:26:01
2
aminatawadee06
Amin@t@ w@ D 🇹🇿 :
daah uyu jamaaa atakuwa anawatu wanampush mana maneno anaongea ....mmmh
2026-09-06 09:10:46
1
drkuyengajr14
Dr Jacton H Kuyenga :
ndio maana tuna shahada maalumu za Uongozi wa umma. lakini huu ni ulimwengu wa maarifa, adopt maarifa taifa liinuke.
2026-09-06 11:33:48
1
choyishe04
FarajaChoyishe04 :
hayo macho vp mwanetu
2026-09-06 03:27:58
3
samwelikazembe215
Samweli kazembe :
kumbe huyu jamaa Anakili eeh
2026-09-06 06:53:21
1
abby_lulee
Abby :
huyu jamaa ana akili sana aseee age imeenda ila ana akili sana kuliko vijana
2026-09-06 08:49:31
1
To see more videos from user @puttapain, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About