sheikh walid akirudi kwao ana jenga nyumba na pesa za kwetu🤣🤣🤣
2026-09-06 18:14:04
25
minah :
mwenye namba ya shekhe walid naomba kwa ajili ya Allah
2026-09-08 05:34:17
22
matola daughter💕💕 :
Au tuanzishe baraza letu🤣🤣🤣
2026-09-18 18:22:00
20
𝕊ℍ𝔸ℝ𝕀𝔽𝕌𝕃ℍ𝔸𝕄𝕀𝔻💫 :
mashallah shekh walid Allah akuhifadhi n kila shari
2026-09-05 21:30:30
16
شمهروش :
sheikh walid n walii wa Allah kipenz cha mtume .....
2026-09-06 08:33:12
24
ISSAFURSA MCHANGANYO :
mkisema cha nn wenzetu kenya wanasema watakipata lini inaruhusiwa kuamia kwengine imeandikwa kweli usinganganie sehem moja
2026-09-18 12:43:04
7
ladygaga :
kwann hutunzwa kwenye kofia Huwa Ina maanisha nn jaman mnisaidie
2026-09-06 20:45:22
6
Grace Nakoh :
kibali alichokupa Mungu binadamu hawez kukichukuwa
2026-09-18 11:28:11
13
hamida abasi :
Allah akuweke shehe wetu kipenzi tunakupenda sheikh walid
2026-09-06 08:59:11
7
r🇹🇿🇹🇿 :
jamani Hadi rahaaaa
2026-09-18 18:53:25
2
T cosmetic 💄 :
Allah atakuongoza kila jambo la kheri ila waja tupunguzeni chuki,husda na hasad kumbukeni huyu ndo aliefanya vijana wapende dini na mawaidha kwa sababu alikua anaelimisha jamii.🤲🤲🤲
2026-09-18 12:00:31
5
safia kazimoto :
yaani shekhe huyu natamani angekua hata kaka angu tumbo moja😭😭😭
2026-09-07 09:15:10
7
ashlady3 :
Tunakupenda shkh watu🥰
2026-09-07 21:21:10
4
Nassoro Mkwanje :
Sheikh Walid ni muungwana sana Anafaa hata kuwa mufti
2026-09-18 08:27:51
5
elizabethelanga6 :
bado unapendwa tu sana sana
2026-09-18 20:59:44
1
PROFESA MAKAME :
naamini uyu she anapendqa bwana
2026-09-19 15:52:42
1
Dorisi Dotto :
mungu tutunzie shehee wetu
2026-09-19 12:04:00
2
dejahnbabe :
Wakituvuruga sana tunaanzisha baraza letu afu tunamuweka shekhe wetu kipenz awe kiongozi😁
2026-09-20 18:05:54
1
sharifa :
mungu akuifadhi, hekima nabusara, afya na akili timamu na maisha marefu
2026-09-19 05:24:47
1
Sharifu Kiroro :
sheikh walid ni kipenzi Cha waisilam
2026-09-18 16:30:45
3
Mr.suda :
jamani jamani jamni mwenya namba ya sheh Walid naiomba nna jambo muhimu kwake
2026-09-18 11:04:21
3
Shuu :
Mashallah huyu shekh anapendwa jaman hata waseme nn sisi tunampenda wallah
2026-09-19 13:29:00
2
HI WILL :
mimi ni mkristo jamani waislMu wekeni namba tumchangie
2026-09-20 13:38:21
2
To see more videos from user @maula_munshid777, please go to the Tikwm
homepage.