jaman sahz nkimwambia mtu nlikuwa nacheza hv kanisani kusindikiza vipaji najua watu hawa wez nielewa🥺🥺
2026-09-06 06:05:38
93
Kanule :
Ila father Denis umetishaaa
2026-09-06 10:28:49
1
sd4 :
Hili vibe huwezi elewa mpaka uingie mwenyewe 😋🥰🥰🥰
hongera sana utoto mtakatifu wa yesu ❤️
2026-09-06 03:24:35
61
Orest Cosmas :
Fr. Wigira anaendana nao sana😁 hakuna namna,,hongera sana kwake Fr.
2026-09-06 05:48:16
23
mollyrut2 :
nakumbuka enzi za uhai wang sas nipi mahututi 🤣🤣🤣
2026-09-06 05:32:52
22
vivian:7777 :
mungu awatunze watoto wetu❤️
2026-09-06 00:15:36
5
jolee.tz :
Yaani saizi nimwambie mtu nilikuwaga nashinda na masister kwenye nyumba ya watawa sijuwi Kama mtanielewa
2026-09-06 07:31:39
13
kengembisi :
ila Fr Dennis jamani 😅😅😅 nakugawa bure mpendwa wangu
2026-09-06 14:32:28
6
Evarist Mtandu :
ila padri Wigira kipenz Cha watu
2026-09-06 19:20:30
1
kenny boy :
nampendaga huyu father jmn
2026-09-06 18:59:00
1
user7671568304397 :
Hongereni sana utoto mtakatifu pia Fr Wigira nakutakia utume mwema
2026-09-06 05:12:58
6
Janey store tz :
Father Amekaa penywe 🥰🥰Hongereni kwa Pamoja
2026-09-06 20:01:04
1
obeydijey :
mm nakumbuk nilivyokuw kwny hich chama watoto wa kiume tulikuw wawili mm na mwenznguu ninakushukur san ee mungu kw malez boraa matund yak ninayaon as hv pia ninamuombea mwnzngu uliyemuitakuwa padre ninakuomb umjaliee kwny safarii yak y kitumee wa1day ajekunifungish ndoaa naninaimaniii itawezekan tuuu🥰🥰🥰🥰🥰
2026-09-06 09:19:45
5
TZ🇹🇿 :
Huyu Padre na mkubali sanaaa MUNGU ambarikii🙏🙏🙏
2026-09-06 06:46:06
6
Mr Roberty :
😂😂😂huwezi elewa hiyo vaibu kama sio wa imani moja takatifu katoliki la mitime
2026-09-07 04:16:16
3
Pretty li@ :
Mc.Wajimboo nlifurah sana kuona anapocheza
2026-09-06 07:01:33
4
Ge❤tz :
Enzi za uwai wangu 😂
2026-09-06 10:13:21
3
daty elasto :
Ila father denis Mwenyezi Mungu akuweke saana🥰❤️
2026-09-06 12:51:59
3
katekista morice lung'okwa :
hongera fr denis kwa utume huo
2026-09-06 06:00:19
3
Cesilia Mbwambo :
Anaendana na watt jmn 😁
2026-09-06 08:44:34
4
To see more videos from user @bongosource, please go to the Tikwm
homepage.