@kanikibrown: 🔴Ukiwa na HABARI MPIGIE RIPOTA 0622732287 RIPOTA WA HABARI ZA MIKOANI ✍ @kaniki_brown #Ripotawahabarizamikoani #kanikibrown #WeweNiFamilia
kwa stahili hiyo kwel kabisa huna uwezo wa kuongea na Heche... wananchi tunajua ukwel tunadanganywa na nan??
2026-09-05 23:46:39
18
B.M,W, :
hili nal bog la kiangazi
2026-09-06 06:10:09
10
magapeter38 :
kwani huyu mwandishi wa habari yup nchi Gani?
2026-09-10 16:05:11
0
Martial005 :
daaah CCM hamna akili wte bn mnatuchosha t
2026-09-06 19:23:22
6
Ilonation53 :
kina Ahamed Ally wamefika kwenye siasa🤣
2026-09-06 11:57:12
8
Richard Mdoe :
Duu! Tanzania 🇹🇿 nakupenda na sina pakwenda acha nikuvumilie
2026-09-06 08:10:27
5
Fatma Mohamed :
we mm nakutosha
2026-09-06 07:04:07
3
mufasa :
ukwel ni kwamba hamuwez hata mmoja katik aliotajiwa
2026-09-06 12:42:55
4
andreamachumi :
John heche ni msomaji mzuri wa vitabu hio inamsaidia kua na maarifa mapana sio TU juu ya mambo ya TANZANIA ila na Dunia nzima ila chama tawala wame narrow focus Yao kwenye kuelewa na kulinda maslahi ya chama na mifumo Yao ya utawala so ni ngumu Kwa mtu wa ccm ku argue na heche
2026-09-06 09:33:38
5
Jooboy73 :
heche nimkubwa kuliko CCM
2026-09-09 10:18:22
2
norah.S :
mna solution ila ikifikia swala la oct29 hamna majibu
2026-09-06 14:06:45
3
user10401539965817 :
mungu nifudishe kuyamza
2026-09-07 15:43:48
2
MendosaDaniel :
Tutokee huko
2026-09-06 15:16:48
1
Msarify Mbwillo :
wani kihongozi ndio nani?
2026-09-06 17:19:31
3
MWAKAJINGA STORE :
Heche yupi unayemzungumzia🥺
2026-09-06 05:51:22
9
physicus :
BBC mlisema waongo
2026-09-06 11:17:14
2
The form is not the spirit. :
anatafta kufahamika kupitia CHADEMA
2026-09-07 12:23:01
1
steventumain :
hapo anajibu hoja aw anapindisha majibu😅😅😅😅😅😅
2026-09-06 06:27:16
4
@ Godlizen interiors :
Ccm wanajitekenya wenyewe
2026-09-06 04:30:46
5
frank tweve :
akumbuke kunakesho
2026-09-06 08:05:49
2
n-stive :
😳 adi nimecheka
2026-09-06 04:16:35
3
To see more videos from user @kanikibrown, please go to the Tikwm
homepage.