@auledymdud:

auledymduda5
auledymduda5
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 05 September 2026 21:55:12 GMT
9056
472
43
10

Music

Download

Comments

user9730131201612
Solomon Keke :
Hongera odemba
2026-09-05 22:24:31
7
shebbyofficial
shebby :
pole sana mdogo wangu. you are doing a hardest job in a planet
2026-09-06 01:06:19
1
user2326800039755
Alex :
huyu brother n rapper mzuri sana sjui nn kmemkuta
2026-09-06 06:04:23
0
user58414421119181
user58414421119181 :
eheheh odemba ccm hawachielewi
2026-09-06 04:30:48
1
lucas.anderson.sa
Lucas Anderson sakimela :
MUNGU msaidie sana odemba naye asijetekwa
2026-09-06 04:30:36
7
deusongoro703
deus ongoro :
kama chama tawala haijui watekaji sasa malalamiko yetu tupeleke wapi
2026-09-05 22:53:26
7
robertjoachim1
Roby :
kufanya kazi na ccm kwa sasa ni ngumu sanaaa
2026-09-06 06:08:13
3
berniceatieno0
Bernice🌹 :
Kuna vitu vinatia hasira‼️
2026-09-06 04:35:50
2
posuta354
simsokwe said kalolo :
kwanini mtu akimkosowa rais anatekwa
2026-09-06 07:34:15
0
wauteng
Babuu :
kuna watu wanajua kutia hasira
2026-09-06 07:13:40
1
user9757558705663
peoples favourite :
nimechukia sana hawa watu
2026-09-06 04:27:57
2
rashidmadebe247
sakandechiwa :
Kama wanajua,je ni watu wangapi wametekwa Tanzania? je wameweza kuaianisha sifa za watu.waliotekwa? katika hao niwangapi uchunguzi umekamilika
2026-09-06 04:35:55
2
trustcareclinichealth
TRUSTCARE CLINIC🇹🇿🇺🇸🇨🇦💯 :
aiseee ngojaa nilalee tu
2026-09-06 08:47:30
0
user7463278123571
user7463278123571 :
Uchunguzi unaonyesha ni watu gani wanatekwa zaidi? Wanawake, wanaume, watoto,wazee, wafanyabiashara, wanasiasa , wakulima, au watu wa aina gani?
2026-09-06 03:03:09
1
salamba.simaye
Salamba Simaye :
mungu mwema
2026-09-06 07:40:27
0
elisha81555
ELISHA 🇹🇿. 🇲🇿 ❣️❣️ :
anajifanya hajui chochote lakini mwache mama samia atayatoa moja moja
2026-09-06 07:24:06
0
sadock.lewis6
Sadock Lewis :
sasa vyombo vya ulinzi vya kazi gani kama havijui si ni bora tujilinde wenyewe
2026-09-05 23:25:45
1
mrsambatz
Emanuel start :
majibu anayo pole pole na gwajima
2026-09-06 05:47:39
0
denis.wa.laizer
Denis wa laizer :
kama hamjui watekaji mkiwa serikali basi serikali wakubali wameshindwa kulinda usalama wa wanainchi.
2026-09-06 06:48:29
0
fransisconkuyumba
fransisconkuyumba :
Kwanini watekwe wanao ikosoa CCM??
2026-09-06 13:31:16
0
malisa776
King of piace :
kuuwa kuteka na kuuza mali za taifa kwenu nyie ni furaha sanaaee ila yupo mungu msemaji wa mwisho
2026-09-06 01:31:40
3
israel.amulike
israelamulike @gmail.com :
kama vyombo vya ulinzi vimeshindwa kujua ninani anateka watu kunahaja gani ya kiwa na vyombo vya ulinzi
2026-09-06 00:55:57
1
jhamisissa
Jay :
odemba ni levo zingine
2026-09-06 00:01:59
1
mathayothomas5
mathayo thomas :
basi msingeua october 29 kama mnajali huo mnaosema mnajali UTU
2026-09-06 07:40:29
0
To see more videos from user @auledymdud, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About